Huyo Moleli ndio anakufa yeye.Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa kiutawala bali inaendeshwa na itikadi za kianaharakati na makelele ya jukwaani.
Akizungumza katika mahojiano maalum na televisheni ya mtandao ya Manyunyu TV leo Jumanne, Juni 9, 2026, Dkt. Mollel ameweka wazi kuwa viongozi hao hawana sifa za kuingia Ikulu kwasababu hawakupitia mfumo rasmi wa kujengwa kiuongozi, jambo litakalosababisha chama hicho kuendelea kushuka na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Alijinasibu kuwa CCM ina mifumo imara kuanzia chipukizi mpaka Umoja wa Vijana (UVCCM), tofauti na upinzani ambapo mtu anaweza akawa hajulikani lakini akionekana tu "amependeza" jukwaani na ana uwezo wa kuongea anapewa uongozi bila kujali kesho atafanya nini
JF unono tupuHuyu mkoma hana hoja siku zote anaitaja Chadema tu, alimuombea Magufuli apate corona na kweli corona ikamfyekelea mbaliView attachment 3604366
Hii picha ngoja nimtag wazir wangu mpendwa Dkt. Gwajima DHii takataka wakati watu wanakufa na UVIKO 19 yeye na wenzie walikua wanaigiza kwa kunywa juisi za mizizi na viungo .View attachment 3604372View attachment 3604373View attachment 3604374
😄Huyu mkoma hana hoja siku zote anaitaja Chadema tu, alimuombea Magufuli apate corona na kweli corona ikamfyekelea mbaliView attachment 3604366
Shida ili kopo likirudi chadema mtalipokeaHuyu Tukio la kumuondoa Wizara ya Afya hatalisahau
Aliuawa mgombea wa CUF ili uchaguzi uahirishwe, kuja kufanyika uchaguzi Wizara yake kapewa Mkwe
Kuna watu wenye ushawishi lakini siyo huyu kima.Shida ili kopo likirudi chadema mtalipokea
Aulizwe LemaShida ili kopo likirudi chadema mtalipokea
Mifumo ya kuteka,kuua,kuiba,rushwa na kuweka familia na mahawara zao ndiyo mfumo bora?Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa kiutawala bali inaendeshwa na itikadi za kianaharakati na makelele ya jukwaani.
Akizungumza katika mahojiano maalum na televisheni ya mtandao ya Manyunyu TV leo Jumanne, Juni 9, 2026, Dkt. Mollel ameweka wazi kuwa viongozi hao hawana sifa za kuingia Ikulu kwasababu hawakupitia mfumo rasmi wa kujengwa kiuongozi, jambo litakalosababisha chama hicho kuendelea kushuka na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Alijinasibu kuwa CCM ina mifumo imara kuanzia chipukizi mpaka Umoja wa Vijana (UVCCM), tofauti na upinzani ambapo mtu anaweza akawa hajulikani lakini akionekana tu "amependeza" jukwaani na ana uwezo wa kuongea anapewa uongozi bila kujali kesho atafanya nini
Ukiona unapigwa vita sana na huna hela tambua kua una kitu kinachowafanya wakupige vita na huna maisha!!!Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa kiutawala bali inaendeshwa na itikadi za kianaharakati na makelele ya jukwaani.
Akizungumza katika mahojiano maalum na televisheni ya mtandao ya Manyunyu TV leo Jumanne, Juni 9, 2026, Dkt. Mollel ameweka wazi kuwa viongozi hao hawana sifa za kuingia Ikulu kwasababu hawakupitia mfumo rasmi wa kujengwa kiuongozi, jambo litakalosababisha chama hicho kuendelea kushuka na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Alijinasibu kuwa CCM ina mifumo imara kuanzia chipukizi mpaka Umoja wa Vijana (UVCCM), tofauti na upinzani ambapo mtu anaweza akawa hajulikani lakini akionekana tu "amependeza" jukwaani na ana uwezo wa kuongea anapewa uongozi bila kujali kesho atafanya nini
Anajitoa Akili Kabisa😁😁😁 Daah uchawa kazi ngumu sana Boss
Siku hizi amejua kiswahili?Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa kiutawala bali inaendeshwa na itikadi za kianaharakati na makelele ya jukwaani.
Akizungumza katika mahojiano maalum na televisheni ya mtandao ya Manyunyu TV leo Jumanne, Juni 9, 2026, Dkt. Mollel ameweka wazi kuwa viongozi hao hawana sifa za kuingia Ikulu kwasababu hawakupitia mfumo rasmi wa kujengwa kiuongozi, jambo litakalosababisha chama hicho kuendelea kushuka na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Alijinasibu kuwa CCM ina mifumo imara kuanzia chipukizi mpaka Umoja wa Vijana (UVCCM), tofauti na upinzani ambapo mtu anaweza akawa hajulikani lakini akionekana tu "amependeza" jukwaani na ana uwezo wa kuongea anapewa uongozi bila kujali kesho atafanya nini
Atasema anashukuru kwa kumbukumbu nzuri wakati watu walikua wanakufa.
Huyu anaongeaga upumbavuHuyu Tukio la kumuondoa Wizara ya Afya hatalisahau
Aliuawa mgombea wa CUF ili uchaguzi uahirishwe, kuja kufanyika uchaguzi Wizara yake kapewa Mkwe
Atajulia wapi wkt siku sote anasungumsa kimasai?Siku hizi amejua kiswahili?
Haha Kasuku Mlawiti Msiri unaepiga Doria Jf.jikite kwenye hoja bila porojo gentleman na itapendeza zaidi
Huyo naye miteyusho saanaAulizwe Lema