Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waziri hamna kila kituNaibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama.
Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel
😂😂 UzeeKiongozi kachemka🤣🤣🤣
😂 Kala chumvi nyingi ukilinganisha na hao vijanaWaziri hamna kila kitu
😳Inasikitisha, watu ni wabovu kiasi hicho.
Huu ujinga umeanza tena?Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama.
Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel
🤣🤣🤣Huyu kiongozi wa hovyo mno
Safi 💪35 safi sana mi huwa napiga laps za 20 *5 basi
Mkuu Lusungo rafiki yako dk Godwin MollelNaibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama.
Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel
Huyo mollel mbn dhaifu hivyoo
Ova