#COVID19 Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

#COVID19 Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika.

Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika utawala uliopita alikuwa na msimamo tofauti na wa sasa kuhusu hatari ya virusi hivyo na sasa anaonekana kuunga mkono juhudi za rais Samia Suluhu kutumia mbinu zinazotumiwa na nchi nyingine kupambana na janga hilo.

Gwajima amesema matumizi ya nyungu ni tiba ya asili ambayo iliwasaidia wengi na bado itatumika lakini sasa panafaa kuwa na tahadhari zaidi kwasababu ya aina mbalimbali ya virusi vya Corona.

 
Really shady if you ask me! People can make up their own minds about whether they want it or want their child to get it or not but this vaccine is being pushed way too hard! It has not undergone years of clinical trials, ma side effects kibao, na bado kuna concern chanjo zinazoletwa ulimwengu wa 3 hazina ubora.

yetu macho ila kama kuna agenda na viongozi wetu hawataki kulinda raia wao wajue siku wakiaga dunia hii yeye aliye juu sana ataziweka damu za watu wao kwenye vichwa vyao. Sababu tunaogopa mno wanadamu kuliko Mungu.
 
Watu.wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Ni maneno mafupi sana yenye maana pana. Wazungu sio kwamba walitutawala physically huko nyuma sasa hivi ni watumwa wa kiakili. Ni ngumu sana mtu mweusi kujitambua. Narudia tena, Ni ngumu mno.
 
Wameishashikishwa mshiko hao, ndio maana wako tayari kulamba matapishi yao. Ulaya kila Daktari anayelisemea vema suala la COVID-19 au hata kupika takwimu hupewa zawadi "Bonus"! Itakuwa Afrika?
 
Huyu mama naye ni design za shemeji yake Askofu Rashid. Sioni tofauti Kati yao zaidi ya moja ni mwanaume wingine ni wanamke.
 
IMG_0482.jpg

Ni kweli kabisa.
 
Nakumbuka hata bosi wake aliwahi kusema tufuate chanjo lakini tusisahau na njia zetu za asili.
 
Huyu Mama angeomba kupumzika....wizarahaiwezi tena maana alikuwa mpika majungu na anapelela huko kwa jiwe .....sasa hakuna style hiyo tena
 
Back
Top Bottom