Dkt. Gwajima: Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu

Ukiona mwanamke anajitapa sana mitandaoni kwamba mimi na mfanyie vizuri sana mumewangu, mimi ni mama bora mara namheshimi mume wangu, jua hilo ni garasa tu tupu
Sasa amekuwa mwanasiasa...chawa pro max etc...amesahau aliemtendea..huwa hasahau...!! ...kisa cha mla kunde....mtupa maganda
 
Sisi hatuna interest na Dr Gwajima.
Sisi tuna interest na Rais.
 
Dr Doroth naamini sasa umekuwa mama mwema na bora....
Hutamnasa vibao vile tena.....back 2003.......siku hazigandiiii.....Amen
Unavuruga presentetion na assigment yooote jaama yangu wewe.
 
Ukiona mwanamke anajitapa sana mitandaoni kwamba mimi na mfanyie vizuri sana mumewangu, mimi ni mama bora mara namheshimi mume wangu, jua hilo ni garasa tu tupu
Jua ni Kali sana dar 🤣
 
Amshauri na bosi wake naye aringe na mume wake
 
Dr. Dorothy Gwajima hata akiongea au anavyo andika unaona kabisa, huyu ni mama wa Kitanzania aliyekulia mazingira na kulelewa Kitanzania, I like her. Ugomvi wake na shemeji yake askofu Gwajima ulikua wa kipuuzi sana but bado anabaki kama mama wa mfano. Mtazamo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…