Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Mwanangu, waache tu waseme kila mtu lake, tunaishi kwenye Dunia ya kila mmoja anataka kusema lake juu ya mtu fulani Ili apate amani ya moyo, hivyo vema Kila mmoja ajifyatue direction yake anayoona ina tija kwake, wa kusema akeshe akisema wa kusikiliza akeshe akisikiliza, wa kunyamaza anyamaze, kikubwa anapata amani ya moyo wake..Mstiri yule mama nampenda sana mimi binafsi.
Ndiyo tunaingia Arusha tayari kwa 8 Machi 🇹🇿