Dkt. Gwajima: Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu

Mstiri yule mama nampenda sana mimi binafsi.
Mwanangu, waache tu waseme kila mtu lake, tunaishi kwenye Dunia ya kila mmoja anataka kusema lake juu ya mtu fulani Ili apate amani ya moyo, hivyo vema Kila mmoja ajifyatue direction yake anayoona ina tija kwake, wa kusema akeshe akisema wa kusikiliza akeshe akisikiliza, wa kunyamaza anyamaze, kikubwa anapata amani ya moyo wake..

Ndiyo tunaingia Arusha tayari kwa 8 Machi 🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…