Dkt. Hamis Kigwangala na mzimu wa Tegeta Escrow

View attachment 3046611

Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.

Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.

Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi yetu kuokoa kiasi hicho Cha Fedha toka mikono ya wapigaji tusipoteze historia yetu.

Naomba Dkt Hamis Kigwangala afikiriwe kwenye Baraza la Mawaziri lijalo Kwani ni kijana Mzalendo na mchapakazi hivyo tunaomba akumbukwe.​
Serikili ipi?
 
Kigwangallah kuna tufedha anamendea wizarani,alivisahau
 
View attachment 3046611

Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.

Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.

Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi yetu kuokoa kiasi hicho Cha Fedha toka mikono ya wapigaji tusipoteze historia yetu.

Naomba Dkt Hamis Kigwangala afikiriwe kwenye Baraza la Mawaziri lijalo Kwani ni kijana Mzalendo na mchapakazi hivyo tunaomba akumbukwe.​
Katika wote hao,

Vijana wenye nguvu wamebaki,

1. Kigwangala
2. Kafulila
3. Zitto
4. Lissu
 
View attachment 3046611

Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.

Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.

Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi yetu kuokoa kiasi hicho Cha Fedha toka mikono ya wapigaji tusipoteze historia yetu.

Naomba Dkt Hamis Kigwangala afikiriwe kwenye Baraza la Mawaziri lijalo Kwani ni kijana Mzalendo na mchapakazi hivyo tunaomba akumbukwe.​
Kafulila kama Kafulila👏🏿👏🏿👏🏿
 
Aise huyu kijana Kafulila anasifa ya ziada
 
Ww ndio hanisi sijui hamisi?
 
Wasaka tonge JOINED JUN 9 2024.
Zimeanza mapema sana BUKU 7 kwa cku.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
View attachment 3046611

Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.

Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.

Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi yetu kuokoa kiasi hicho Cha Fedha toka mikono ya wapigaji tusipoteze historia yetu.

Naomba Dkt Hamis Kigwangala afikiriwe kwenye Baraza la Mawaziri lijalo Kwani ni kijana Mzalendo na mchapakazi hivyo tunaomba akumbukwe.​
Wakusifiwa hapa ni Kafulila tu wengine zilikuwa kiki tu
 
View attachment 3046611

Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.

Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.

Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi yetu kuokoa kiasi hicho Cha Fedha toka mikono ya wapigaji tusipoteze historia yetu.

Naomba Dkt Hamis Kigwangala afikiriwe kwenye Baraza la Mawaziri lijalo Kwani ni kijana Mzalendo na mchapakazi hivyo tunaomba akumbukwe.​

ALipokuwa WMU alifanya ufisadi mwingi sana.
 
Akumbukwe kigwangala
 
Back
Top Bottom