Dkt. Hamis Kigwangalla: Msimamo wangu kuhusu tiba ya Corona

Hivi kumbe Kigwangala nae ni mbobezi?

Sentensi ya mwisho imenistua sana jamani

Hii nchi jaman mtuache tupumue aiseh
Tukikumbatia PROFESSIONALISM tutaheshimika sana sasa Mh. anaonekana alikuwa kumbe hakubaliani na falsafa za Mzee ila akamsupport hivyo hivyo lakini sio yeye tuu wengi wetu tulipuliza vuvuzela ili hali moyoni tukiwa tunajisuta.

Ili kuepuka haya ni vyema tukawa na taasisi imara ambazo viongozi wetu watawajibika kwazo ila kwa mwendo huu tutakuwa wanafiki mpaka mwisho kwa kutumia surviving plans.
 
Fear mongers and black pillers.....siku takribani 20 zilizopita kuna watu walisema matokeo ya mirundikano ile tutaiona baada ya two weeks..Tunaelekea wiki ya tatu sasa,where are the body bags? Tusiombeane mabaya nchi hii... I suspect hii nchi imeshafika herd immunity bila kujua. Hio kamati ya huku ianze kwanza kuchukua sampuli ya watu hapa nchini na kuwacheki antibody load za CoviD ndo tutapata hali halisi ya nchi hii. waTanzania hata maana ya anaphylaxis hatujui tunakimbilia kupigwa tu chanjo. Vaccines especially these are never allowed to be scrutinized in the public square...Wonder why? Juzi nilikua namsikiliza Dr Lean Wen wa waMarekani akiwa CNN ,alijisahau na akasema the quiet part out loud,alisema they shouldn't allow parts of America to be fully reopened without being fully vaccinated,b'se they will reach herd immunity and fail to attribute any resulting low CoVid cases to sufficient vaccinations in those areas.Akaiomba administration ya Bw Biden isiruhusu hizo states kufunguliwa... We r still playing checkers,wenzetu wanacheza chess
 
Juzi nilialikwa na kushiriki kwenye mdahalo wa ‘Zoom’ ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana.
Kwa kuanzia nataka ieleweke kuwa nilichokisema hakina lengo la kufubaza heshima (legacy) ya mtazamo/msimamo wa hayati Rais John Magufuli hata kidogo.

Niliunga mkono sera na utendaji wake akiwa waziri, akiwa Rais na siku zote nitazienzi fikra zake, hata baada ya kufa kwake.

Siyo kwa sababu aliniamini na kuniteua kuwa waziri kwenye serikali yake, la hasha, bali ni ukweli kwamba mimi ni miongoni mwa watu wachache waliopenda sera, staili na mwenendo wa hatua alizokuwa akichukua Rais Magufuli. Na nilimuunga mkono kwa vitendo kwa sababu nilimkubali na kumuamini kutoka moyoni.

Kwa kuwa nilikuwa na ‘access’ naye, sehemu ilipotokea nikawa na mawazo mbadala, sikusita kumshauri bila unafiki wala kujikomba.

Februari 6, 2021 niliweka posti kwenye mtandao wa IG iliyoelezea mashaka yangu juu ya chanjo ya corona. Nilisema ni mapema mno kuwa na uhakika nayo kwa kuwa hakuna ‘peer reviewed scientific papers’ (maandiko ya kisayansi yaliyochapishwa kwenye majarida ya kimataifa) ya kuridhisha juu ya usakuhusua chanjo, uhakika kuwa chanjo zinasaidia kuzuia maambukizi (efficacy) na gharama yake (cost).
Siku saba baadaye nilipata makala ya chanjo ya corona kutoka Urusi, Sputnik V, iliyochapwa kwenye jarida la The Lancet. Niliisoma na kupata ‘mwangaza mpya’.

Februari 22, 2021 nilitoa makala juu ya mtazamo wangu kubadilika juu ya chanjo. Kwenye sayansi inakubalika kubadili msimamo wako kama umepata taarifa mpya ama ujuzi/ufahamu mpya.

Aidha, nilichukua muda kujadiliana na manguli wenzangu juu ya taarifa za chanjo na uelekeo sahihi kwa nchi yetu. Ifahamike kuwa wimbi la kwanza halikusumbua Afrika, la pili tulitarajia litusumbua zaidi kutokana na ‘mutations’ za kirusi.

Mimi kama daktari mbobezi kwenye afya ya jamii, niliamua kuweka wazi juu ya fursa mpya ya uhakika ya kinga iliyojitokeza kutokana na ujio wa chanjo.

Nilichokisema juzi kwenye mdahalo wa kitaalamu ni msimamo wangu wa kisayansi na niko tayari kuutetea na kuulinda kwa hoja za kisayansi popote pale.

Kwa kusoma ama kusikia vipande vilivyopo mtandaoni, huwezi kuelewa vizuri ni nini hasa msingi wa hoja zangu.

Hivyo, nawataka wanaopambana kugeuza maana halisi ya nilichoongea kwa sababu zao waache mara moja, na pia niwasihi wasihusishe na kauli ama msimamo wa mpendwa wetu hayati John Pombe Magufuli.

Msimamo wangu juu ya chanjo niliutoa kabla Rais Magufuli hajafariki, hivyo hakuna usaliti wowote ule ‘eti kwa kuwa ametangulia mbele ya haki. Sina tabia ya unafiki hata kidogo na hayati alinijua hivyo.

Aidha, kuhusu matumizi ya njia za kitaalamu za kujikinga, msimamo wangu ni uleule, haujabadilika. Kwamba, ni lazima tutumie njia za kuvaa barakoa kwenye mikusanyiko, kuweka nafasi kati ya mtu na mtu, kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, kutakasa mikono kwa maji tiririka na sabuni ama kwa sanitizer (vitakasa mikono) na kutoa chanjo kwa makundi muhimu.

Siyo ustaarabu kumsingizia marehemu kwa kuwa hawezi kutoa ufafanuzi tena ama kujitetea, kwa kutaka kujiita wazalendo ama kuonekana wewe ni mfuasi halisi wa Magufuli, na kwamba wengine ni wasaliti. Tudumu kwenye ukweli na tumpe mpendwa wetu sifa zake stahiki na siyo kumsingizia mambo.

Rais Magufuli katika uhai wake alisisitiza njia zote tunazoelekezwa na wataalamu zitumike. Alikataa kujifungia (lockdown) na alitaka tutumie barakoa zetu wenyewe, za kujishonea ama za viwanda vya ndani.

Aliielekeza Wizara ya Afya waitazame chanjo na wzara ya ikaunda kamati ya kitaalamu kufanya tathmini ya chanjo.

Hata hivyo, msimamo wangu uko palepale, kuwa tiba ya asili inaweza kutumiwa na daktari wa tiba na kwamba siyo sahihi kwa hospitali ya Taifa kutumia tiba ya asili bila ushahidi unaotokana na tafiti za kisayansi.

Hata kama tunaitambua na kuihamasisha, lakini siyo kuitangamanisha kwenye mfumo wa tiba za kisasa (zenye ushahidi wa kisayansi)!

Binafsi nimekuwa nikihamasisha utamaduni wetu utumike kiutalii, na ndiyo maana nilipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, nilihamasisha matumizi ya nyungu na zile dawa za kiasili kiutalii, lakini haimaanishi ndiyo naamini asilimia 100 kuwa zinatibu corona.

Nilisema siku nyingi na narudia tena leo, kuwa tujenge utamaduni wa kujadili hoja kwa namna ilivyo na siyo ku-attack personality (kumshambulia mtu) ya mtu ama kufumbana midomo.

Dk Hamisi Kigwangalla ni daktari bobezi wa afya ya jamii.
Nilipofika kwenye kuvaa barakoa na social distancing sikutaka kuendelea zaidi.He is either already compromized or he does not know what is going on.Namshauri atafute taarifa za kisayansi kuhusi athari za kuvaa barakoa na ku-practice social distancing.Kama hazijui,which is likely kwa kuwa anashauri watu wavae barakoa na wa-observe social distancing,basi hajafuzu udaktari!Barakoa na Social distancing ni both social engineering and genocide tools.

Namshauri pia atafute taarifa za kitaalamu zaidi kuhusu chanjo.Hakuna chanjo nzuri,zote zina side effects.Na kwa vile hazikuwahi kufanyiwa utafiti wa kutosha,I must admit that we will never know their long term effects on humanity.

Hivi Kigwangwali anajua kwamba ndani ya chanjo kuna Mercury(Hg) ambayo ina athari nyingi mno kwa mwanadamu?Anajua kwamba kuna Aluminium(Al),
Lead(Pb) na vitu vingine vya ajabu humo including foetal material?Kama sio uchawi huo ni nini?Foetal material ya nini kwenye chanjo,kama sio kutulisha vitu vya ajabu against our will?Niseme hivii,hawa akina Kigwangwala wamekwenda kufundishwa kudanganya,ili waje kutudanganya.

Hii ya Covid-19 is even worse,sio chanjo ni DNA altering technology,ambayo inalenga ku-programme mwili uwe kiwanda cha kutengeneza viruses.Therapy hiyo pia inalenga kuharibu immune system ya mwanadamu,na hivyo to easily succumb to the viruses produced by the body.Hii ni sayansi ambayo naamini Kigwangwala haijui,it is new to us.So Namshauri awe mdadisi zaidi.

Finally nina ujasiri wa kumuambia Kigwangwala kwamba hajui Covid-19 pamoja na udaktari wake wote,kwa hiyo afanye homework zaidi.
 
Juzi nilialikwa na kushiriki kwenye mdahalo wa ‘Zoom’ ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana.
Kwa kuanzia nataka ieleweke kuwa nilichokisema hakina lengo la kufubaza heshima (legacy) ya mtazamo/msimamo wa hayati Rais John Magufuli hata kidogo.

Niliunga mkono sera na utendaji wake akiwa waziri, akiwa Rais na siku zote nitazienzi fikra zake, hata baada ya kufa kwake.

Siyo kwa sababu aliniamini na kuniteua kuwa waziri kwenye serikali yake, la hasha, bali ni ukweli kwamba mimi ni miongoni mwa watu wachache waliopenda sera, staili na mwenendo wa hatua alizokuwa akichukua Rais Magufuli. Na nilimuunga mkono kwa vitendo kwa sababu nilimkubali na kumuamini kutoka moyoni.

Kwa kuwa nilikuwa na ‘access’ naye, sehemu ilipotokea nikawa na mawazo mbadala, sikusita kumshauri bila unafiki wala kujikomba.

Februari 6, 2021 niliweka posti kwenye mtandao wa IG iliyoelezea mashaka yangu juu ya chanjo ya corona. Nilisema ni mapema mno kuwa na uhakika nayo kwa kuwa hakuna ‘peer reviewed scientific papers’ (maandiko ya kisayansi yaliyochapishwa kwenye majarida ya kimataifa) ya kuridhisha juu ya usalama wa chanjo, uhakika kuwa chanjo zinasaidia kuzuia maambukizi (efficacy) na gharama yake (cost).
Siku saba baadaye nilipata makala ya chanjo ya corona kutoka Urusi, Sputnik V, iliyochapwa kwenye jarida la The Lancet. Niliisoma na kupata ‘mwangaza mpya’.

Februari 22, 2021 nilitoa makala juu ya mtazamo wangu kubadilika juu ya chanjo. Kwenye sayansi inakubalika kubadili msimamo wako kama umepata taarifa mpya ama ujuzi/ufahamu mpya.

Aidha, nilichukua muda kujadiliana na manguli wenzangu juu ya taarifa za chanjo na uelekeo sahihi kwa nchi yetu. Ifahamike kuwa wimbi la kwanza halikusumbua Afrika, la pili tulitarajia litusumbua zaidi kutokana na ‘mutations’ za kirusi.

Mimi kama daktari mbobezi kwenye afya ya jamii, niliamua kuweka wazi juu ya fursa mpya ya uhakika ya kinga iliyojitokeza kutokana na ujio wa chanjo.

Nilichokisema juzi kwenye mdahalo wa kitaalamu ni msimamo wangu wa kisayansi na niko tayari kuutetea na kuulinda kwa hoja za kisayansi popote pale.

Kwa kusoma ama kusikia vipande vilivyopo mtandaoni, huwezi kuelewa vizuri ni nini hasa msingi wa hoja zangu.

Hivyo, nawataka wanaopambana kugeuza maana halisi ya nilichoongea kwa sababu zao waache mara moja, na pia niwasihi wasihusishe na kauli ama msimamo wa mpendwa wetu hayati John Pombe Magufuli.

Msimamo wangu juu ya chanjo niliutoa kabla Rais Magufuli hajafariki, hivyo hakuna usaliti wowote ule ‘eti kwa kuwa ametangulia mbele ya haki. Sina tabia ya unafiki hata kidogo na hayati alinijua hivyo.

Aidha, kuhusu matumizi ya njia za kitaalamu za kujikinga, msimamo wangu ni uleule, haujabadilika. Kwamba, ni lazima tutumie njia za kuvaa barakoa kwenye mikusanyiko, kuweka nafasi kati ya mtu na mtu, kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, kutakasa mikono kwa maji tiririka na sabuni ama kwa sanitizer (vitakasa mikono) na kutoa chanjo kwa makundi muhimu.

Siyo ustaarabu kumsingizia marehemu kwa kuwa hawezi kutoa ufafanuzi tena ama kujitetea, kwa kutaka kujiita wazalendo ama kuonekana wewe ni mfuasi halisi wa Magufuli, na kwamba wengine ni wasaliti. Tudumu kwenye ukweli na tumpe mpendwa wetu sifa zake stahiki na siyo kumsingizia mambo.

Rais Magufuli katika uhai wake alisisitiza njia zote tunazoelekezwa na wataalamu zitumike. Alikataa kujifungia (lockdown) na alitaka tutumie barakoa zetu wenyewe, za kujishonea ama za viwanda vya ndani.

Aliielekeza Wizara ya Afya waitazame chanjo na wzara ya ikaunda kamati ya kitaalamu kufanya tathmini ya chanjo.

Hata hivyo, msimamo wangu uko palepale, kuwa tiba ya asili inaweza kutumiwa na daktari wa tiba na kwamba siyo sahihi kwa hospitali ya Taifa kutumia tiba ya asili bila ushahidi unaotokana na tafiti za kisayansi.

Hata kama tunaitambua na kuihamasisha, lakini siyo kuitangamanisha kwenye mfumo wa tiba za kisasa (zenye ushahidi wa kisayansi)!

Binafsi nimekuwa nikihamasisha utamaduni wetu utumike kiutalii, na ndiyo maana nilipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, nilihamasisha matumizi ya nyungu na zile dawa za kiasili kiutalii, lakini haimaanishi ndiyo naamini asilimia 100 kuwa zinatibu corona.

Nilisema siku nyingi na narudia tena leo, kuwa tujenge utamaduni wa kujadili hoja kwa namna ilivyo na siyo ku-attack personality (kumshambulia mtu) ya mtu ama kufumbana midomo.

Dk Hamisi Kigwangalla ni daktari bobezi wa afya ya jamii.

Covid-19: US agencies call for pause in Johnson & Johnson vaccine​

Published1 hour ago
Share
Related Topics
Johnson & Johnson vaccine
IMAGE COPYRIGHTREUTERS
US health authorities are calling for a pause in the use of the Johnson & Johnson Covid-19 vaccine, after reports of extremely rare blood clotting cases.
The Food and Drug Administration (FDA) said six cases in 6.8 million doses had been reported and it was acting "out of an abundance of caution".
Following the news, South Africa, the first country to use the jab, said it would suspend its rollout.
Johnson & Johnson said it would also delay its vaccine drive in Europe
 
The Minister is already compromized mkuu!With all the information available that the jab is a genocidal tool,all the deaths reported and all the harmful effects,bado anaipigia chapuo,ridiculous.Halafu hawa ndio viongozi,dah!Inasikitisha sana.You expect such a person to protect you?Not at all.Sana sana atakusukumia kwa "majibwa.''
 
Raisi kesha sema hatuna competent people hivyo wawekezaj, na Former CAG kasema 60% ya wafanyakazi sio competent
 
Back
Top Bottom