Dkt. HAMISI KIGWANGALLA NDANI YA CHUO CHA SAUTI MWANZA KESHO 18 JANUARY 2014

Dkt. HAMISI KIGWANGALLA NDANI YA CHUO CHA SAUTI MWANZA KESHO 18 JANUARY 2014

Peter Dafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
392
Reaction score
272
IMG-20140115-WA0020.jpg

DKT Hamisi Kigwangalla atakuwa Kesho Mwanza Kuanzia Saa 4 asubuhi kwa Ajili ya Mdahalo na wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustino Nyegezi Mwanza,

Mada ni :-

MAPINDUZI YA MARA YA PILI AFRICA:-

MTAZAMO WANGU JUU YA ASILI NA SABABU ZA UMASIKINI NA UTAJIRI WA TAIFA.


Kutakuwa na wachangiaji mbali mbali siku hii Lakini Mgeni Rasmi atakuwa ni Dk. Kigwangala Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge (TAMISEMI)

Vijana wote na Wanavyuo wa Mwanza Tunakaribishwa Nyegezi ST. Agustino ktk Ukumbi M 13.

MWALIKO HUU NI TOKA CHUO CHA ST. AGUSTINO WAKISHIRIKIANA NA WANAMAZINGIRA {SAUTI- SEMA}
 
naomba kama kuna jipya litakalo letwa na huyo mgeni rasmi?tunaomba taarifa ya jimboni mwake kuna mabadiliko yaliyosababishwa na yeye? au ni maneno yale yale tuliyozoeshwa?
 
Tangazo kama la mchungaji, anafaa kuanzisha kanisa zaidi.
 
Mada zimepoa...
Kwani sauti kuna wanafunzi wa nzega, aanze kampeni mapema...?
 
Siendi kwanza siku hiyo nina appointment na supervisor wangu Dr Safari!!!!!
Mbili hua mnatoa fake information kuna siku napo mlisema kutakua na wageni kina mwigulu,rose migiro hata hawakuja akaja ngeleja na wasira
 
Kesho ni January 17 na sio 18.hivyo clarify huo mdahalo ni kesho au ni Tarehe 18?
 
aaaaaaah! kumbe wana chuo wa SAUT ni wana CCM! nyie ndio mumekalia UCHUMI emu inuken tuinue uchumi wetu yaapu! kinaonge kichwa cha UDSM hapa
 
Back
Top Bottom