Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Mwakyembe sio wa kumwamini anataka kurudi siasani.
Hana njaa hiyo huyo kaka... anaongea ukweli. Kumbuka msemakweli siku zote hupigwa vita!

Alinusurika kuuwawa kwa sumu ambayo ingempa kansa ya ngozi miaka kenda iliyopita kisa tu kuwa mkweli na kuchukizwa na ujingaujinga. Hana shida ya teuzi wala kiki mzee huyo yupo vizuri kwelikweli!
 
Na huwezi amini mimi hata sasa hivi ukaniuliza umeshawahi kumuona choko? nitakujibu hapana kwa sababu hawa wa sasa hivi wengi hawajirembi,
Unakuta mtu ni body builder lakini anapitiwa vile vile.

Aisee! Yule alikuwa mwanamke kabisa anavaa sketi yani huwezi jua Ni mwanaume. Picha zake ziliwekwa kwenye front page ya magazeti ya shigongo. Siku hizi mtu ana ndevu anajifanya shoga Kama yule wa Kenya waliyemuua juzi.
 
Acha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!
Hii ni kweli kabisa,hasa kwa mzazi inauma sana
 

Nakubaliana na wewe mkuu. Ngoja tusubiri jina la Mkurugenzi wa ushoga na watenda kazi wake wamikoa na Wilaya.
 
Daily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .

Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi .

Simply because nilikuwa mgeni nisingeweza kuhoji ila baada ya kupewa mikoba nikahoji uwepo wa hii taasisi nikapewa barua ya hiyo taasisi pamoja na barua kuroka serikalini kwa maana kwenye uongozi wa juu ukitaka hii taasisi ipewe ushirikiano katika shughuli zake .

Dear friends , naheshimu sexuality ya mtu hasa mtu awe shoga au asiwe ila ukweli ni kuwa sipendezwi na mtu shoga , sasa kinachoniuma kila hawa masponsor wa mashoga wanapokuja wanawaita watu wao wanakutana hapa kazini na kupewa haki zao hususani hela na zawadi pamoja na kufarijiwa kuwa ipo siku watakuwa huru katika ardhi ya Tanzania .

Pia wanaambiwa if kuna wenzao wanaowajua basi wasisite kuwaleta wajiunge hapo .

Ukweli ni kuwa vijijini kote kwenye vituo vya afya na hizi Zahanati kuna taasisi nyingi zenye baraka toka serikalini zinazokuja kupromote haya mambo .

Ndiyo maana sina uwezo wa kupingana na Mwakyembe kwa hilo japo najua anatuchora sababu yeye anajinasibisha kuwa serikali haiwajui wahusika kitu ambacho sio kweli .

Alison stop making Tanzanians fool , huko unakojaribu kuibukia tutakuanika hapa jamvini sababu Kyela na Tukuyu hakuna lisilojulikana out of unavyohisi ni siri ila ushahidi na kila kitu kipo .

So fanya kiki zingine sio haya.
 
Hali ni mbaya siku nyingi...

Hayo maswali lazima ujiulize kabla mtu hajaanza kampeni ya kupambana na hayo masheitwani hadharani, kwa kuwa hiyo makitu ieenda deep sana...

Mathalani, jibu la swali kwa nini kaamua kuyaweka bayana sasa, huenda jibu likawa alikuwa akihofia mamlaka (hapo utajua ukipambana na uchoko basi unapambana na mamlaka)...

Kumbuka huyu mtu ameshawahi kuwa Waziri wa Sheria
 
Kudeal na ushoga ni upuuzi mtupu, viongozi hangaikieni mambo ya maana achaneni na ushenzi, leo hii viongozi waanze kujadili mada za matako tutapeleka wapi hili taifa? Hangaikieni swala la ajira, afya, chakula, malazi, mavazi, elimu na mengineyo. Mambo ya kufokonyoa matako achaneni nayo ni ujinga mtupu.
 
Acha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!
hakuna anaeridhika na vyeo na pesa bana weee...

Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi na trans national broker wa vitalu vya mbuga na madini tokea Mwakyembe hajazaliwa, na bado hajaridhika, karudi kwenye siasa, pesa na umaarufu.

Usiniambie Mwakyembe yuko vizuri hana shida. Na yeye anatafuta kiki, na hao watu hatowataja. Kama wale wa Richmond embezzlement alosema akiwataja wote nchi itapinduka. Siku tatu baadae akapewa naibu waziri wa asali.
 
Penye udhia penyeza rupia...timing nzuri kwa Mwakyembe, Mama amemsikia na kumuona. Sasa asubirie teuzi atalamba kama Mzee Wassira😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…