Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Angepiga suti tangazo lisingeonekana?
Hayo mavazi ndio aliyovaa mwenye hiyo pombe, yeye amecopy na kupaste tu

I4F8McZyu6FkFr6GxDNOzaLUjqc2LYSutBBgdqiF.jpg
 
Nimeona Clip inayozunguka ya mwakyembe na mwanadada mmoja aitwaye Catherine wakidai Arusha ni miongoni mwa maeneo ambayo kuna mashoga wengi na ndo makao makuu ya Ushoga!!

Mwakyembe na mwenzake wanadai wanafanya utafiti na kufatilia haya masuala kwa ukaribu sana.

Lakini ukiangalia wa kulaumiwa ni Serikali ya ccm tu! Mnawezaje kuruhusu mashirika yanaoperate kinyemela tu?Hivi kwani hakuna wazee wa usalama kwenye mashirika yanayofanya kazi za ajabu yawe yanafungiwa?

Nimeona pia kataja mashirika mengi sana na anadai mashirika mengi au karibia yote yanayodili na ukimwi yanatumika kueneza ushoga na usagaji

Au ndo maana makonda kapelekwa Arusha akapambane na hili tatizo?Kuna haja ya mashirika mengi Arusha kuchunguzwa maana kutajwa kuwa ndo eneo lenye mashoga wengi na wasagaji haileti picha nzuri hata kidogo.
 
Hatari sana zanzibar ndio walitoa na idadi kabisa ina maana waliwahesabu na wanawajua kwa majina
 
Back
Top Bottom