Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Attachments

  • Screenshot_2023-04-04-21-52-51-91.png
    Screenshot_2023-04-04-21-52-51-91.png
    267.6 KB · Views: 7
Ushoga ni dubwana kuuubwa sana la hatari kama upepo wa kimbunga usiozuilika kwa kukinga ungo.

Ushoga ulikuwepo kwenye jamii zetu tangu zama za kale sana, sio kitu kipya. Tangu enzi na enzi wako wanaumr walikuwa wanaliwa na wanaume wenzao, tangu zamani walikuwepo wanawake wanaooolewa na wanawake wenzao. Lakini huu ushoga wa Sasa ni tofauti kwasababu unaenezwa kwa makusudi na watu wakubwa kwa kutumia nguvu kubwa ya ushawishi kupitia ujinga na umaskini wa mtu, familia na hata taifa.

Wanaoeneza ushoga kwa makusudi wanafahamika sana na watu wote kwenye ngazi zote za taifa, Afrika na dunia, Mifumo yooote ya nchi inalifahamu hili tatizo kwa ukubwa na ubaya wake, ila wanashindwa kusema NO kuhofia maisha Yao, vikwazo na kunyimwa misaada. Mzee mwakyembe umefanya kazi nzuri sana kujaribu kulibwekea tatizo ingawa hata wewe unajuua kuwa utaishia kubweka TU, Utakumbukwa kuwa uliwahi kulibwekea tatizo kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na wizara za mambo ya ndani na Mambo ya nje na kama taifa na kama bara..

Mh. Makonda aliwahi kulibwekea kwenye awamu ya tano ya comrade JPM lakini hakufua dafu, kama awamu ya tano ilishindwa sembuse Dr. Mwakyembe!!! Umeamua kujitoa sadaka kwa watanzania?

Biblia unayoisoma ililetwa Mbeya na wao, na Sasa haohao wameleta nyingine mpya, zote wamezileta wao wasiwasi yako ni nini? Tuliingia mkenge pale tulipozipa kisogo dini zetu tunazozifahamu na kukumbatia za kwao tusizozijua. Tukakubali majina ya akina Harrison, Morrison, Jackline, Martin, Rashid, Musa Zaina, nk tukayaacha majina yetu ya mwakyembe, mwansasu, bwedo, karumanzila, nk tukidhani ni ya kishenzi kumbe washenzi ni sisi.

Unapomkataa shetani kataa na mikufu yake ya Dhahabu pia. Kama tunakataa kupelekeshwa na wazungu tukae kwanza tamaduni zao zikiwemo dini na mavazi, misaada na mikopo Yao, vinginevyo itakuwa ni kuukata mkono unaokulisha.

Kwa maneno rahisi angalia sana uliposimama, sio watu wema hao, wamedhamiria.

Wote tunafahamu kuwa lengo lao kuu ni kutuzuia tusizaane, tusiwe wengi, tumalizike kabisa. Zlko njia nyingi nyingine wanazifanya ili kutimiza lengo lao hii la kutupunguza kama sio kutumaliza kabisa.
 
Ukisoma ili list ya Mwakyembe ya NGOs zinazo sapoti ushoga utaona asilimia 100 ni local NGOs pekee lakini zile Internayional hazikutajwa hata moja.

Ila kuna NGOs kibao za kimataifa zinazo fanya kazi Tanzania hizo ndio vinara wa kusapoti ushoga hadi kwa stafu wao, nisha wahi fanya kazi na moja ya NGOs ni International nakumbuka tuliwahi pigwa mkwara kuongelea au kuwanyanyapaa mashoga na ilikuwa ikibainika una katishiwa mkataba wako ikifika December ingawa hawatakuambia Direct sababu bali watachomekea sababu nyingine.

Kuna taasisi inaitwa Tanzania Gender Network ile taasisi ni balaa wale wana fund za kufa mtu za kusapoti ushoga na sijaona wakitajwa.
 
Sasa NGO ni ya kifeminist au haki za binadamu. Unafkiria shoga kwao ni tatizo?. Na ushoga ni tatizo Kwa standard na miiko ya kidini. Katika mitazamo ya kibinadamu juu ya haki za binadamu shoga hawez kuwa tatizo
 
Nchii ina watu wa ajabu kabisa
Kuna mavipindi mmekuwa mkifatilia
Kwenye TV,vipindi vya ndani na nje
Vyote vimekuwa vikihamasisha ushg
Nyie na familia,watoto zenu mnafatilia
Tu ....

Ova
 
SERIKALI HAINA MPANGO WA KUPAMBANA NA JAMBO HILI HATARI LA UKHANITHI...

NAAMINI SERIKALI IMEWAINGIZA WANASIASA KATIKA JAMBO HILI...NA INAFANYA SIASA KWENYE JAMBO HILI...NI KELELE TU WANAPIGA SERIKALI BUNGENI HUKO KELELE KELELE TU NA MPAKA SASA HIVI MMEONA WAPI HATUA KALI ZA KUDHIBITI HAYA...?

PENGINE SERIKALI NDIO INAZILINDA HIZO TAASISI ZA USHOGA...

PENGINE SERIKALI NDIO COORDINATOR WA KUFANIKISHA UTENDAJI KAZI WA SHUGHULI ZAO...

HUKU IKITUCHEZA SHERE KAULI ZAO ZA SIASA...LAKINI NYUMA YA PAZIA... PENGINE MSIMAMO WA SERIKALI NI KUUNGA MKONO...HIVI MMEMSIKIA RAIS KAMA RAIS AKITOA KAULI KAMA MWENZIE WA UGANDA AKITOA MSIMAMO WA NCHI KAMA NCHI KUHUSU MAS'ALA HAYA?

Mambo haya bado yanaendelea kufanyiwa kazi chini kwa chini na hizo hizo taasisi...zinatumia pesa nyingi sana...na wala hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua kali na serikali ili kutishia na kutoa mfano wa kuonesha hata kwa vitendo kuwa serikali haiko tayari na mambo haya...

Nimepoteza imani na SERIKALI YA NCHI YANGU JUI YA KUPAMBANA NA SUALA HILI.

UKIZINGATIA KUNA KAULI ALIITOA RAIS JUZI JUZI HAPA...Eti "MSITUHARIBIE WATOTO WETU...FANYENI WENYEWE HUKO WATU WAZIMA ILA WATOTO WETU MSITUHARIBIE". HIYO NDIO KAULI YA MKUU WA NCHI...INAYOONESHA MSIMAMO WA NCHI. HAKUNA MATARAJIO. SERIKALI NA WABUNGE WANATUZUGA TU...NCHI KAMA NCHI BADO HAUJATOA MSIMAMO WAKE KWENYE JAMBO HILI.
 
MODS MMEUNGANISHA UZI ILI UJUMBE UPOTEE..
 
Anaandika BICHWA KOMWE:-

Hello Wanabodi na 'Great thinkers' (Japo najua wengi wenu humu hamna sifa zozote za kuwa Great thinkers, kwahiyo hichi ni kivumishi tu cha kuwapaka mafuta).

Ni takribani kama miezi miwili nyuma ambapo kulizuka wimbi na vuguvugu la kufokea ushoga, huku baadhi ya mashabiki wenye mihemko wakiandama na maboksi na kuwataka mabeberu waache mara moja kuwafundisha watanganyika ushoga.

Sambamba na hilo, akaibuka mchambuzi mwenye madoido akifafanua namna ambavyo pafyumu za mabeberu zinasababisha na kuambukiza ushoga mwilini.

Akichagizwa na Harrison Mwakyembe, mchambuzi huyo aliyejichubua uso kwa mkorogo, alitoa vielelezo thabiti kwa njia ya video na picha vinavyoonesha jinsi mabeberu wanavyoambukiza ushoga kwa kuunda mashirika ya kishoga ambayo yanafanya kazi nchini.

Kutokana na mihemko ya ushoga kupamba moto, tukaona DPP amehamasika zaidi, na akaona ni vema sasa aanze kuwaingizia watu vidole sehemu za kutolea haja kubwa na kuwapima jinsi atakavyo ili kuzuia ushoga nchini.

Kwa ujasiri huo wa kuwaingizia watu vidole sehemu za vinyesi, DPP alipongezwa sana na kupewa nishai ya kupambana na mabeberu ya kishoga.

Lakini ghafla tukashtukia mihemko ya ushoga imezimika ghafla, huku mashoga wakiendelea kuzagamuana vilivyo. Hata yule dada mchambuzi naye akatokomea mitini.

Kwa hoja hii, sisi watanganyika, tunamtaka Mwakyembe atutajie yale mashirika ya kishoga ili tuendeleze mihemko yetu ya kupambana na mabeberu.
 
Anaandika BICHWA KOMWE:-

Hello Wanabodi na 'Great thinkers' (Japo najua wengi wenu humu hamna sifa zozote za kuwa Great thinkers, kwahiyo hichi ni kivumishi tu cha kuwapaka mafuta).

Ni takribani kama miezi miwili nyuma ambapo kulizuka wimbi na vuguvugu la kufokea ushoga, huku baadhi ya mashabiki wenye mihemko wakiandama na maboksi na kuwataka mabeberu waache mara moja kuwafundisha watanganyika ushoga.

Sambamba na hilo, akaibuka mchambuzi mwenye madoido akifafanua namna ambavyo pafyumu za mabeberu zinasababisha na kuambukiza ushoga mwilini.

Akichagizwa na Harrison Mwakyembe, mwandishi huyo aliyejichubua uso kwa mkorogo, alitoa vielelezo thabiti kwa njia ya video na picha jinsi mabeberu wanavyoambukiza ushoga kwa kuunda mashirika ya kishoga ambayo yanafanya kazi nchini.

Kutokana na mihemko ya ushoga kupamba moto, tukaona DPP amehamasika zaidi, na akaona ni vema sasa aanze kuwaingizia watu vidole sehemu za kutolea haja kubwa na kuwapima jinsi atakavyo ili kuzuia ushoga nchini.

Kwa ujasiri huo wa kuwaingizia watu vidole sehemu za vinyesi, DPP alipongezwa sana na kupewa nishai ya kupambana na mabeberu ya kishoga.

Lakini ghafla tukashtukia mihemko ya ushoga imezimika ghafla, huku mashoga wakiendelea kuzagamuana vilivyo. Hata yule dada mchambuzi naye akatokomea mitini.

Kwa hoja hii, sisi watanganyika, tunamtaka Mwakyembe atutajie yale mashirika ya kishoga ili tuendeleze mihemko yetu ya kupambana na mabeberu.
Kwaio tumekunyamazia kidogo unaanza kutamba tena eeh?
 
Kuna watu walihemka mpaka kuifikia kuropoka eti mashoga wauwawe, na ukiwabeza wanakujumlisha eti nawe ni shoga kwa nini uwatetee.Nchi hii inavituko, sijui lini nitaanza kutumia akili zetu kuyaendea mambo.
 
Back
Top Bottom