Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Na wewe lazima mwanao awe shoga.

Maana inaonekana una mchecheto sana kiasi kwamba utaanza kumzonga zonga mwanao kisha ashawishike kujaribu.

M/Mungu ataniepusha na hili. Kukaa kimya si suluhisho. Ni vyema jamii ielezwe kama hivi kuwa hali ni mbaya, iwe makini kwenye kuwalea watoto /vijana wetu.
 
98, 99. Biafra secondar school. Zamani ikiitwa goliyo. Gospel and right for youth. Nilisoma na shoga moja maarufu pande za kinondoni, akiitwa aunty bilali. Alikuwa anatumia choo cha wanawake tu. Sijui kwanini aliogopa kuchangia choo na wanaume wenzake?
 
Utasikia Marekani imeifadshili Tanzania mamilioni ya dola kumbe nyingi zinaishia kwenye taasisi za kiraia zilizolenga kupandikiza uharibifu!

 
Hivi vi-NGO/taasisi za kiraia zimetufikisha mahali pagumu sana! Wazungu wanajiamini kuwa viongozi wa Afrika wanahongeka kirahisi sana, kwa hiyo wanaleta uchafu pasipo hofu!! Ngoja tuone itikio la vyombo vya dola kwa huu mlipuko aliouonesha Mwakyembe!! Swali ni je ni kweli walikuwa hawajui? Je ni kweli hata wazee wa suti nyeusi walikiuwa hawajui?
 
Fikiria mtu anafunga safari toka ulaya na huu ndio ujumbe anaoleta na anausema hadharani bila aibu: "Kwamba Afrika lazima waige nchi za magharibi kuhusu haki za mashoga!!" Huyu naye eti ni waziri wa ushirikiano wa kimataifa wa Ufaransa!! Taifa lake limegharimia safari yake kuja afrika kuleta ujumbe wa hovyo hivyo!!

France wants Africa to copy West on gay rights​

The call comes in response to a proposed Ghanian law which could see jail terms for homosexual acts
France wants Africa to copy West on gay rights

© MONIRUL BHUIYAN / AFP
African nations should follow the lead of the West when it comes to gay rights, French Minister for International Partnerships Chrysoula Zacharopoulou has said, affirming her commitment to promoting LGBTQ rights on the continent.
At a press conference in Ghana’s capital, Accra on Monday, Zacharopoulou insisted that gay rights are “a question of human rights” which must be protected by law.
“In my country and in the European Union, we promote human rights and of course in my ministry, we have an ambassador to promote LGBT rights; so what I can say is that this is our values and wherever I go in Africa, I will continue to say that we have to respect all of us, the LGBTQ community,” she said, according to local media.
The minister, who is on a three-day visit to Ghana, is the latest foreign leader to advocate for gay rights in Ghana, just days after US Vice President Kamala Harris made headlines with her LGBTQ advocacy.
Russian warships visit east African seaport
Read more
Russian warships visit east African seaport

In a joint press conference with Ghana’s president on Monday, as part of her three-nation African tour, Harris reaffirmed the US position on LGBTQ rights, calling it a “human rights issue” that “will not change.”
Her remarks follow the introduction of the Proper Human Sexual Rights and Ghanaian Family Values Bill, also known as the Anti-Gay Bill, which is currently being debated in parliament. If passed, the bill would outlaw support for the gay community and impose jail terms on people who engage in same-sex relationships.
Ghana’s Speaker of the Parliament, Alban Bagbin, has signaled that the West African country intends to pass the bill regardless of interference from the US.
More than 30 African countries have already prohibited same-sex relationships. Uganda recently passed a law that makes it illegal to even identify as lesbian, gay, bisexual, transgender, or queer.
 
Uganda hawana simile katika kupambana na mashoga!!

Africa must ‘save the world’ from homosexuality – Ugandan president​

Yoweri Museveni insisted that LGBTQ people are a major threat to the “procreation of the human race”
Africa must ‘save the world’ from homosexuality – Ugandan president

Uganda’s queer activist Papa De outside the Uganda High Commission during a picket against the country’s anti-homosexuality bill in Pretoria on April 4, 2023. © AFP / Phill Magakoe
The African continent should lead the way in “sav[ing] the world” from homosexuality, Ugandan President Yoweri Museveni has declared, as he prepares to sign into law an anti-LGBTQ bill passed by the country’s parliament last month.
 
Bila kusimama kama Taifa kuzikataa hizi taasisi za kishetani za Usa nchi inakwenda kuwa ya mashoga na wasagaji watupu huko mbeleni!
 
Back
Top Bottom