Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yote haya tenido umejuajeee?? Mmmmh
Nafanya tafiti ndogo ndogo, kama hivi naongea na wewe, naongea na wengi sana, napitia mitandao.

Cocastic, umekuwa unanirusha rusha naswali yangu, kwa nini hutaki kufunguka kwa hali yako? Nami nipate kujuwa fikra zako.

Imani yangu inanifundisha "ukiokowa mmoja ni kama umeiokowa dunia nzima na ukiuwa mmoja ni kama umeiuwa dunia nzima".

Natamani niokowe japo mmoja na nafahamu kwa msaada wako tunaweza kufanikiwa kuokowa japo mmoja.
 
Faiza anajivunia nini kutombwer?

Anapenda kunyanduliwa huyu bibi acha tu.

Kuna uzi fulani hivi alisema anapenda madushe ya wavulana wa sekondari.
Taratibu bibie, mbona umenianza kwa michambo mapema yote hii? Unanshangaza!
 
Nafanya tafiti ndogo ndogo, kama hivi naongea na wewe, naongea na wengi sana, napitia mitandao.

Cocastic, umekuwa unanirusha rusha naswali yangu, kwa nini hutaki kufunguka kwa hali yako? Nami nipate kujuwa fikra zako.

Imani yangu inanifundisha "ukiokowa mmoja ni kama umeiokowa dunia nzima na ukiuwa mmoja ni kama umeiuwa dunia nzima".

Natamani niokowe japo mmoja na nafahamu kwa msaada wako tunaweza kufanikiwa kuokowa japo mmoja.
Hebu sema kweli.
 
Aisee Mungu awatie nguvu inasikitisha mnoo kuna mmoja nilisoma nae chuo huwezi kumzania na alikua na michezo hiyo nimeshangaa 2020 ameoa
Mwenyezi Mungu amzidishie heri kwenye ndoa yake na In Shaa Allah amuondowe kabisa kwenye hayo mambo.

Bado sijakutana na hata mmoja ambae hajutii mambo hayo.
 
Anatafuta kiki kama zile za Dudubaya baada ya kuona amekuwa irrelevant
Acha ujinga wewe, ameamua kushirikisha na Yule Catherine personal investigative officer kulifichua hili Jambo alafu wewe unasema ni kutafuta nguvu ya kisasa?! Je watoto wetu waendelee kuharibika, ndicho unachokitaka? Chuki binafsi za kisiasa ziweke pembeni but when it comes to national issue like this tuwe pamoja kukataa ujingaa
 
Kwa mtazamo wangu, mwanamke kutokuolewa, kwa adilimiankubwa husababishwa na mfumo wa maisha aliojipangia, mara nyingi ule unaoacha maadili kwa ujinga tu.

Kutokuolewa siyo sababu ya kujihusisha na ngono za jinsia moja.
Haya niambie basi haswa wewe unataka kujua nini ili walau nijue nakusaidiaje,
 
Haya niambie basi haswa wewe unataka kujua nini ili walau nijue nakusaidiaje,
Ahsante. Nataka kujua mengi sana, twende kidogo kidogo. Kama utaona hapa naingilia privacy yako unaweza nijibu pm.

Umeolewa?
 
Hongera nyingi kwa Dr Mwakyembe kwa hili. Sisi wazazi kupata hata watu wawili tu kama hivi, wakuliongelea hili jambo kwa jamii, kwetu ni muhimu sana. Sisi tunajitahidi kuwaangalia watoto wetu, ila kama mazingira ni magumu huko nje ya familia, hii vita inakuwa ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom