FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nafanya tafiti ndogo ndogo, kama hivi naongea na wewe, naongea na wengi sana, napitia mitandao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yote haya tenido umejuajeee?? Mmmmh
Cocastic, umekuwa unanirusha rusha naswali yangu, kwa nini hutaki kufunguka kwa hali yako? Nami nipate kujuwa fikra zako.
Imani yangu inanifundisha "ukiokowa mmoja ni kama umeiokowa dunia nzima na ukiuwa mmoja ni kama umeiuwa dunia nzima".
Natamani niokowe japo mmoja na nafahamu kwa msaada wako tunaweza kufanikiwa kuokowa japo mmoja.