Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Yaani unaona kudeal na nguvu kazi ya taifa inayoharibika sio jambo la maana?

Wataajiriwa kina nani ikiwa vijana wanajiingiza kwenye Ushoga na kusagana?

Kilimo wataendesha akina nani?

Grow up
 
Umesema siwezi kupata uchungu mpaka mwanangu wa kiume aliwe ndogo nishuhudie
Mimi nimemaliza hivyo kwa hio endelea na mengine sitaki story za kipunga punga nishasema nilichosema na nimemaanisha hakuna mzazi mwenye akili timamu na anaetambua tamaduni na maadili ya jamii anayoishi anaefurahi kumuona mwanae wa kiume anachezewa ushaelewa ?
 
Hawa wazee waliokwishajichokea na waliokwisha kula sana keki ya Taifa ndiyo wa kuwatanguliza mbele kwenye hii vita ya ushoga. Hawa hata wakipigwa ban na sunctiins mbalimbali wala haina noma, wanakuwa hawana cha kupoteza kwa sasa. Wameshafaidi dunia vya kutosha.

Wajitokeze wengine wengi, Mzee Msekwa, Mzee Mizengo Pinda, Butiku, Warioba, Mama Makinda, Mtei, Shein, Mzee Mwinyi, Mama Mongella, Mee Philip Mangula (Mzee wa Mafaili), Prof. Mwandosya, Mzee Chiligati na wengineo wa kariba yao.
Kwetu hawa wakiongea itawakilisha Jamii na utamaduni wa kitanzania, hapo hailaumiwi serikali wala nini na vijana watabaki safe.
Hapo tutakuwa tumeishinda hii vita kiurahisi sana huku nchi ikiwa salama.
 
kUna mmoja niliwah kusoma nae chuo,mademu wengi walikuwa wanampenda sana maana yeye ndo alikuwa wa kwanza kupata taarifa zote za umbea

Kwa hao wengine sjui lakin mademu wanapenda sana kuwa nao
Ke tunaishi nao tu basi sababu wanatuzaa tu na kutuzalia Watoto kifamilia lakini kiukweli ni Viumbe vya ajabu sana kuviongoza kimaisha.
 
We jamaa una kichaa eeh? Ni maneno gani unanitamkia huo upuuzi wewe mjinga shetani kabisa subiri nisijisumbue watu km nyinyi ni kuwaweka kwenye IGNORE LIST tu haya pokea
 
Kule tweeter Hawa comments Chochote nimekuja kugundua Tweeter wengi ni Machoko wanafanyyiwa huu mchezo
 
Tupewe ruksa ya kuwatandika viboko hadharani kama wanavyofanya Uganda, la sivyo hali itazidi kuwa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…