Mbona Mkuu wa Wilya ya Hai anapiga kampeni kwa kutembelea kata zote na kuwaambia wasimchague mwingine maana watapata tabu sana. Anasimama majukwaani anasema CCM oyee huoni kuwa hapa umetudanganya.
Masuala ya sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi yanatolewa na kufafanuliwa na Tume ya Uchaguzi. Tume ndio inaweza kuhojiwa na kufikishiwa hoja za ukiukwaji wa masuala hayo. Si msemaji wa Serikali.