Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye Hospitali ua Dkt. Massawe ili kupata huduma, bila shaka mnamkumbuka Dkt. Doulla(Dulla) kwa ushauri wake mzuri mno kuhusu afya za watoto wetu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.