TANZIA Dkt. Hassan Doulla, Daktari bingwa wa watoto Hospitali ya Dkt. Massawe afariki dunia

Ohhh Nooooo
JAMAA Dr mzuri sana wa watoto..dah sad jameni sad
 
Kumbe we ndiyo unachelewesha Sherehe na maombi yako ya hapana.

R.I.P Dr Dulla.
Hata sijielewi mkuu, nisamehe tu! Ninekaonea huruma sana ka Jiwe, kumbe raia hawakapendi!! Sasa yule mama sijui itakuwaje?
 
Huyu mzee alikuwa mcheshi sana...
 

Apumzike kwa amani Dkt Hassan.

Roho nyingine hiyo. Hata AstraZeneca tu mja huyu angali endelea kuwa hai.

Ila sasa Prof Matoborwa anaendelea na uhakiki wa chanjo hii. Uhakiki ambao ni hewa na wala hata kaa aumalize.

Hiiiiii bagosha!

Au Nasema uongo ndugu zangu?
 
Hilo sio tangazo ambalo TUNALISUBIRI KWA HAMU, lenyewe mtaliweka lini?
 
Hivi naomba kuuliza,kama ni kweli mtakatifu Yohana mkeka ukatiki ,bi Sandra ataendelea kuongoza mpaka 2025 au atachukua muda mchache na uchaguzi utatangazwa tena? Naomba jibu kutokana na katiba inavyosema.
 
RIP Dr. Hassan Doulla

Dr. Hassan Doulla
Assoc. Dean
Clinical Faculty of Medicine and
Pharmaceutical sciences

Head of Department of Paediatrics & Child Health
Master of Medicine in Pediatrics
Doctor of Medicine
Dr. Hassan Doulla
Master of Medicine in Pediatrics
Doctor of Medicine
Source : Senate – Kampala International University in Tanzania
 
I will be forever indebted to Dr. Dulla. Alikuwa bonge la Dr. Msikivu kuliko kawaida.

RIP Dr. Dulla.
 
Maskinii...tatizo ya hii changamoto inawachukua hadi watu wema!! Laah
 
Jamaniii
Huyu daktari ametibu Sana watoto wangu.Roho imeniuma Sana
Mungu amlaze mahali pema peponi
 
Pole sana kwa fimilia.

Alikuwa Dr mzuri sana wa watoto na zaidi alikuwa na passion na kazi yake.

Apumzike kwa amani Dr Dulla
Namkumbuka sana huyu daktari bingwa wa watoto. Nilimfahamu baada ya kumpeleka mtoto wa bro alikuwa muda wote analia, joto limempanda na kila akila ana puke.
I send my utmost condolences to his family and may his soul rest in peace.
 
Reactions: SMU
upo kwenye ndoa mwaka wa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…