Dkt Haule: Freeman Mbowe umetufedhehesha sana

Lisu alisema hivi, Chadema siyo mama wala baba yangu, siku chadema ikiacha misingi yake, nitaondoka. sasa hizi shutuma zote zinaashiria chadema imeacha misingi yake tayari, Lisu anangoja nini kuondoka, Mkono wa kwa heri?
CDM ni chama cha Mbowe siyo? Ngoja kwanza upepo uendelee kupuliza tuzione nyeti za kuku..
 
CDM ni chama cha Mbowe siyo? Ngoja kwanza upepo uendelee kupuliza tuzione nyeti za kuku..
Hahaha mnataka kila mtu aamini mnavyotaka, mkiona hivyo ndivyo, kwanini mnashupaza shingo?

Ondokeni kuna vyama vingine mkavijenge au mkasajiri chenu, na Lisu akawe mwenyekiti wa kudumu, mfurahi zaidi.

Mbowe, Mbowe ondokeni chadema IFE, si ndivyo mnataka?
 
TAL asingefanya maamuzi ya kugombea nafasi ya Sultan Mbowe, hakika tungeendelea kuwa gizani. Tusingejua UTAPELI wa Mbowe na magenge yake.
 
TAL asingefanya maamuzi ya kugombea nafasi ya Sultan Mbowe, hakika tungeendelea kuwa gizani. Tusingejua UTAPELI wa Mbowe na magenge yake.
Baada ya kuujua mwanga wa Sultan Mbowe na magenge yake mnangoja nini, mshindwe uchaguzi muende mahakamani au kwa msajiri wa vyama kulia lia kuhusu Rushwa?

Kila kitu ndani ya CDM kibaya lakini hamtoki kwenda huko kuzuri, mnashangaza sana. Mnauwezo nyie ni mawakili wasomi, mauwezo wa kujenga hoja, kuandika katiba bora, kudai haki na katiba bora, mnaweza kushinda uchaguzi, masubiri nini CHADEMA?

Kwanini msianzishe chama kikawa standard ya vyama vyoote duniani, katiba bora, wafuasi wengi wajuvi wa sheria na uongozi na mshinde dola.
 
Ataendelea KUFANYA ULAGHAI, subiri kwanza madudu yake yote yaanikwe.
 
Ataendelea KUFANYA ULAGHAI, subiri kwanza madudu yake yote yaanikwe.
Hahaha atamlaghai nani nanyi wajuaji mtakuwa mmeshaondoka tumebaki mazombe tusiojielewa na tusiojali.
 
TAL asingefanya maamuzi ya kugombea nafasi ya Sultan Mbowe, hakika tungeendelea kuwa gizani. Tusingejua UTAPELI wa Mbowe na magenge yake.
Pole kwa kuchelewa kujua mapema,hivi unafikiri jina la nyumbu lilitokana na nini?
 
Aisee kumbe Mbowe kawachosha wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…