TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

ile ya mwaka 2020 -2021 ndio ilikuwa funga kazi kiongozi yule alisindikizwa na waheshimiwa wengi sijui kuna siri maana inaonyesha kiongozi maarufu au mkuu anapofariki either kuna wanaomtangulia na wengine wanamfuata.
 
Mwaka 2008 alipoondoka Wizara ya Afrika Mashariki ndipo Balozi Dk. Kamala aliyefariki jana akawa Waziri.
Yule jamaa chekacheka kafiwa na mlinzi mkuu, kafiwa na mawaziri wake wawili, kafiwa na Waziri Mkuu wake
 
Ila ile kauli ya kulazimisha Serikali iingie mikataba ya kununua umeme wa Dowans vinginevyo taifa litaingia latika giza kwa kipindi kisichojulikana (tena akiwa bungeni), ilimvua nguo!
 
Rafiki yako anapofariki lazima unashtuka na kama unashinikizo la Damu au Moyo umevimba inaweza kuwa ndo ntolee hiyo.

Dawa ya Misiba ni Ligaba 300×2+Diazepam 5mg x2 unasahau hata kama kuna Msiba.

Unabembea tu.
 
Hila hile kauli ya kulazimisha serikali iingie mikataba ya kununua umeme wa Dowans vinginevyo taifa litaingia latika giza kwa kipindi kisichojulikana (tena akiwa bungeni), ilimvua nguo!
Waliyomteua wamemtuma hivyo afanye nini? Hata ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Kila nafsi itaonja mauti, na tunakujaribuni kwa mtihani wa shari na kheri. Na kwetu Sisi mtarejeshwa” [Quran: 21:35]
 
Cc Mshana Jr
 
R.I.P Comrade Ibrahim Msababa
 
Hata hujui series inavyokwenda kwanza huyu ana miaka 72 imekuwaje kuwa ni uzao wa 1960.
Acha akili mbovu kenge we, me sijahusisha aliyekufa na vifo vya watu wa miaka ya 1960s, nimesema zamu ya 1960s kuondoka kwa kasi sasa we unadandia gari kwa mbele, utaloa.
 
List inaendelea kuna majina bado mpaka list yake ikamilike mwacheni mungu afanye kazi yake poleni sana familia na watanzania wenzangu kwa ujumla mnyororo ni mrefu sana ndio kwanza umeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…