Dkt. Joseph Mhagama: Hatutaki aina ya uwekezaji ambao watawanyonya Watanzania

Dkt. Joseph Mhagama: Hatutaki aina ya uwekezaji ambao watawanyonya Watanzania

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama mechangia hoja Bungeni kuhusu Sekta ya Utalii akitolea mfano wa Jimbo la Madaba.

Amesema kuna fursa ya uwekezaji wa mafao ya misitu, ambapo kuna ardhi iliyopandwa miti zaidi ya ekari 100,000.

Ameeleza kuna mpango maalum wa kupata ongezeko la viwanda vya mbao na wameshawekeza kwenye ardhi.
 
Back
Top Bottom