Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Jun 3, 2024 #1 Your browser is not able to display this video. Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama mechangia hoja Bungeni kuhusu Sekta ya Utalii akitolea mfano wa Jimbo la Madaba. Amesema kuna fursa ya uwekezaji wa mafao ya misitu, ambapo kuna ardhi iliyopandwa miti zaidi ya ekari 100,000. Ameeleza kuna mpango maalum wa kupata ongezeko la viwanda vya mbao na wameshawekeza kwenye ardhi.
Your browser is not able to display this video. Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama mechangia hoja Bungeni kuhusu Sekta ya Utalii akitolea mfano wa Jimbo la Madaba. Amesema kuna fursa ya uwekezaji wa mafao ya misitu, ambapo kuna ardhi iliyopandwa miti zaidi ya ekari 100,000. Ameeleza kuna mpango maalum wa kupata ongezeko la viwanda vya mbao na wameshawekeza kwenye ardhi.
Vandetta JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,572 Reaction score 1,951 Jun 3, 2024 #2 Ingekuwa kweli hii wananchi wangeneemeka