GE2025 Dkt Judith Mhina: Kila mtu ana jukumu katika kuhimiza amani nchini

GE2025 Dkt Judith Mhina: Kila mtu ana jukumu katika kuhimiza amani nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani nchini, imeandaa kongamano la viongozi wa dini, wafanyabiashara vijana na taasisi mbalimbali lengo likiwa kuhamasisha amani.

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jijini Dar es saalam, kuhusu Kongamano hilo linalotarajia kufanyika oktoba 25 hadi 27 2025, katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini dar es saalam, mwenyekiti wa taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani Dkt Judith Mhina Spendi, amesema kama mfanyabiashara ni jukumu lake katika kuhimiza amani nchini. Huku akisisitiza kwamba uwepo wa amani ni muhimu katika maendeleo ya taifa lolote lile duniani.

Kwa upande wake Rais wa mitume na manabii nchini Martine Shaboka, amesema kila mtanzania atambue anajukumu la kulinda amani nchini.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom