Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1601659400_1601659400-picsay.jpg
1601659376_1601659375-picsay.jpg
 
Wala hamna haja ya kujikomba ,tunajua Mfumo mmbovu wa Nchi hii unampa nguvu Raisi alie Madarakani.Yeye hakosei ni malaika mkuu na mtakatifu sana .
Vipi kuhusu mada ilioko mezani?
 
Huyu ndio anae mharibia Lisu,

Yani sasa hivi Lisu anaonekana ni kibaraka tu
Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!

Bila wazungu ni hakuna miradi ya maendeleo Tanzania kama vile miradi ya maji,umeme,shule,afya,barabara,etc
 
Back
Top Bottom