johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aje kwenye kampeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
Huyu ndio anae mharibia Lisu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
Vipi kuhusu mada ilioko mezani?Wala hamna haja ya kujikomba ,tunajua Mfumo mmbovu wa Nchi hii unampa nguvu Raisi alie Madarakani.Yeye hakosei ni malaika mkuu na mtakatifu sana .
Kwani mtu kuwa na mwanasheria mzungu hapa Tanzania ni kosa?Na nimeshakuonya kuwa mtu anaekupa mkate wako wa kila siku huwezi kumkejeli kwa kumwita kuwa ni beberu au kibaraka,huo ni upumbavu wa kiwango cha Mr.Polepole!Huyu ndio anae mharibia Lisu,
Yani sasa hivi Lisu anaonekana ni kibaraka tu
CcmNa wewe unatumika na nani? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ameweka reheni kitu gani huko Ubelgiji?. Nchi, madini, wanyama. Maana beberu hawaaminiki hawa, wala hawanaga free lunch kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588495View attachment 1588496