Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Onesha hayo makosa unayodai kama kweli wewe mweledi wa lugha, unakwama wapi ndugu yangu?Basi labda kaandikiwa na non native english speaker na hakusoma kabla ya kupost kwa maana kuna makosa ya kigrammar ambayo hayawezi kufanywa na native speaker hata siku moja achilia mbali huyo loya, ...
Unaweza kuthibitisha kauli yako hii au unapiga tu porojo za hapa na pale ili kuvutia usingizi wa kulala?Kwa sababu kauli ya kitu ambacho huna ushahidi nacho na huwezi kuthibitisha huwa ni porojo tu za kupotezea watu muda waoLisu ni kibaraka
Onesha hayo makosa unayodai kama kweli wewe mweledi wa lugha, unakwama wapi ndugu yangu?
Kiingereza ni lugha pana, haiko finyu kama hivyo unavyoisawiri.
Na hata kama angekuwa kaandikiwa, basi jambo la awali ingekuwa ni yeye kupitia maandishi na kusahihisha lugha (kama kuna makosa). Hiyo (umakini) ni kawaida kwa wazungu ambao wamesomea fani nyinginezo, si kwambii mtu aliyesomea law na mashuhuri duniani kama huyo Robert umakini wake utakuwa juu kwa kiwango gani.
Yeye tu ndio ana wafuasi?Mkuu tume inaweza kufanya hivyo,na je ikifanya hivyo what next, ? Je mafuriko ya watanzania kwake wakikataa mtaweza kuwazuia kwa njia gani!!!? lissu mpaka mda huu anajeshi kubwa la mafuriko ya watanzania ,unafikili ni chombo gani Cha ulinzi chaweza kukubali upuuzi Kama huu,watu hawalali juu ya nchi yao Leo eti tume ifanye mzaa wa kubet na amani ya nchi alafu waichekee,watakatalowa kweupe nakwambia , hao wanaviapo vyao juu ya nchi Wala sio chama chochote au mtu yoyote,japo kwa namna moja au nyingine wanaweza fanya fair tu kwa Mambo madogomadogo ila si maslahi mapana ya taifa
Kama ulivyo Kibaraka wa FISICCMLisu ni kibaraka
Wanafund bure? Si kwa makubaliano?Nilikuuliza inawezekana vipi kukejeli watu ambao wanafund miradi ya maji,umeme,afya,barabara,etc kuwa ni mabeberu wakati hata budget yetu zaidi ya asilimia 60 inawategemea wao,lakini uliingia mitini
Makubaliano yapi hayo?Wanafund bure? Si kwa makubaliano?
Hayo ni maneno ya mshindwaji. Ktk mambo ya taaluma huwa hakunaga stori kuwa eti makosa yako wazi. Kwenye taaluma huwa kuna kuonesha makosa na kusema usahihi ulipaswa uweje. Na kutokea hapo pia tunaangalia hayo makosa kama ni kweli ni makosa au ni mkosoaji ndio ana ufinyu wa taaluma husika na hivyo mkosoaji anahitaji kufundishwa elimu ya ziada.Kama hauoni basi na wewe haujui pia kwani iko wazi ukisoma unaona, isitoshe grammar ya kiingereza inajulikana, kama ni American english grammar inajulikana, kama ni British english inajulikana pia, ...
Tusidanganyane maendeleo Yana chamma mbogamboga,na huo ndio unevu wenyewe,au ubaguzi.Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hayo ni maneno ya mshindwaji. Ktk mambo ya taaluma huwa hakunaga stori kuwa eti makosa yako wazi. Kwenye taaluma huwa kuna kuonesha makosa na kusema usahihi ulipaswa uweje. Na kutokea hapo pia tunaangalia hayo makosa kama ni kweli ni makosa au ni mkosoaji ndio ana ufinyu wa taaluma husika na hivyo mkosoaji anahitaji kufundishwa elimu ya ziada.
Nyie ndio wale mliokuwa mkitufundisha eti 'He' na 'She' zatumika tu kwa binadamu wa kiume na kike haziwezi kutumika kwa vitu kama mbuzi, ng'ombe, sungura, gari. Kwa vitu hivyo unatakiwa utumie 'it'.
Na kweli kwenye mitihani akitajwa mbuzi ukajaza 'it' unawekewa kosa.
Kumbe elimu ni pana zaidi ya hivyo. Waweza tumia 'He' au 'She' kwa vitu hivyo nilivyovitaja hapo na vinginevyo na ukawa sahihi kabisa. Bali kutumia it kunaonesha udhaifu wako ktk taaluma husika.
Mbona Magufuli hafungiwi?Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwamba mzungu anapata na tz inapata sawa kwa sawa,Makubaliano yapi hayo?
Mkuu, nami nimepata shaka hapo!Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama hajui english language vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Sawa mkuu tz kwanza vyama badae, busara kwanza ,maana twajua sio wote wamfuatao mgombea wa ccm ni wanachama au wanamapenzi nae na sio wote wamfatao mgombea wa chadema Wana mapenzi nae so vipi hizi group mbili zikikutana barabarani ,si mtaokota mizoga ya kutosha ,why tufike uko,why tuwape vyombo vya ulinzi kazi ambayo yaweza epukika why ? Nipe majibuYeye tu ndio ana wafuasi?
Mafuriko hata Magufuli anayo
Nimekuelewa mkuu, huna uwezo wa kuonesha makosa yake unayodai hapa na kuandika usahihi wake. Kitu kikubwa ni kuwa wahofia utaonekana wewe ndiye hujui.Hili siyo swala la taaluma, ni kitu rahisi tu, kwamba huo ujumbe grammar yake haijakaa sawa sasa kama hauoni hiyo siyo kazi yangu kukufundisha labda ni wewe ndiye uliyemuandikia huyo loya na yeye hakujisumbua kusoma akaposti tu, ...
Ni kibaraka na msaliti wa watanzania.Unaweza kuthibitisha kauli yako hii au unapiga tu porojo za hapa na pale ili kuvutia usingizi wa kulala?Kwa sababu kauli ya kitu ambacho huna ushahidi nacho na huwezi kuthibitisha huwa ni porojo tu za kupotezea watu muda wao