Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media Septemba 21, 2026, Dkt. Hamisi Kigwangala, Mbunge wa zamani wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amegusia kuhusu maoni ya watu mitandaoni kuhusu yeye kutoteuliwa.
Amesema tayari watu wana hasira na vinyongo na maisha yao hivyo ukifanikiwa lazima watakuchukia.
Amesema tayari watu wana hasira na vinyongo na maisha yao hivyo ukifanikiwa lazima watakuchukia.