Dah dogo unatutisha asee hadi naogopa na hili lidubwasha.
Mtu Hana uhakika wa kula,hasira pomoniIndeed.......huwezi kumpangia mtu cha kucomment wakati reality anaijua mwenyewe,
Nisaidie buku basiMtu Hana uhakika wa kula,hasira pomoni
siasa ni sayansi na sio majigambo au majivuno 🐒Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media Septemba 21, 2026, Dkt. Hamisi Kigwangala, Mbunge wa zamani wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amegusia kuhusu maoni ya watu mitandaoni kuhusu yeye kutoteuliwa.
Amesema tayari watu wana hasira na vinyongo na maisha yao hivyo ukifanikiwa lazima watakuchukia.
Hasa waendesha vyombo vya moto.... kidogo tu unapigwa tusi moja makini.....Mtu Hana uhakika wa kula,hasira pomoni
Madereva wa dar ndivyo walivyo,huko nyuma ilikua wakipiga honi watu wanasema 'ya gari hiyo(piga yako/jjamba)'..basi dereva atatukana hapo kupitia dirisha la mlango wake kakasirika kweli,ule uchiziHasa waendesha vyombo vya moto.... kidogo tu unapigwa tusi moja makini.....