Pre GE2025 Dkt. Kigwangala: Ukiwa juu epuka sana Jeuri, Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala

"Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"

Kigwa.png
 
Huo ushauri unamfaa yeye mwenyewe.maana amewahi wadhalilisha watu wazima wakapiga magoti. Wengine akaenda kuwafungia mageti eti wamechelewa kazini. Akakosa maelewano na akawa anamshambulia katibu mkuu wake wa wizara. Kwa hiyo Mheshimiwa kingwangala angetulia tu na kuomba hekima za Mungu wakati huu.maana kwa kadri anavyoongea sana kwenye Twitter yake ndivyo anavyoendelea kuharibu. Kiongozi na uongozi ni pamoja na utulivu na kukaa kimya.
 
Umeongea ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom