Pre GE2025 Dkt. Kigwangala: Ukiwa juu epuka sana Jeuri, Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka

Pre GE2025 Dkt. Kigwangala: Ukiwa juu epuka sana Jeuri, Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala

" Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"

Wosia ameuandika Ukurasani X 😀🔥
ameanza kukosa pesa ya deodorant ee ndio apunguze harufu nzito ya kiume 🐒

akiwa naibu waziri wa afya, akiwa waziri kamili wa utalii, tulimueleza as brother, kwamba,

friend,
hiyo cheo ni dhamana, wacha kiburi wacha majivuno, wacha uonevu na kukimbizana na kuharibu shughuli za watu eti unafanya wajibu wako kwa bidii....
pekeyako huwezi, nenda pole pole fanya kazi na watu kwa upendo.....

manung'uniko na vilio vyao vitaambatana na wewe tu mpaka na wewe ulie,

na sasa machozi yameanza kumlengalenga na yeye dah🐒
 
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala

" Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"

Wosia ameuandika Ukurasani X 😀🔥
Yeye ndiyo anakumbuka haya sasa? Alipaswa ajue alipokuwa akiwafungia geti watumishi pale Wizara ya Afya
 
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala

"Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"

Wosia ameuandika Ukurasani X.
UPO SAHIHI ULIPOKUWA JUU ULIJIDAI SANA NA UKAWA NA MAJIVUNO UKATUIBIA SANA KWA KUCHONGA SANAMU YA MJOMBA WAKO UKADAI NI YA BABA WA TAIFA
 
Back
Top Bottom