johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aisifuye mvua imemnyea πΌUwo wosia angeanza kujipa yeye kwanza
πππHuu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala
" Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
Wosia ameuandika Ukurasani X ππ₯
Wewe una akili Kubwa πTayari uyo....kajifunza kutokana na makosa, wosia tumeuchukua
Kaliona Ndio sababu ya Kutoa Wosia πNamimi namjinu hivi.....
Nyani hajawahi kuona kundule...π€¨
Umeongea ukweli mchunguHuo ushauri unamfaa yeye mwenyewe.maana amewahi wadhalilisha watu wazima wakapiga magoti. Wengine akaenda kuwafungia mageti eti wamechelewa kazini. Akakosa maelewano na akawa anamshambulia katibu mkuu wake wa wizara. Kwa hiyo Mheshimiwa kingwangala angetulia tu na kuomba hekima za Mungu wakati huu.maana kwa kadri anavyoongea sana kwenye Twitter yake ndivyo anavyoendelea kuharibu. Kiongozi na uongozi ni pamoja na utulivu na kukaa kimya.
Tafsida kwa mtu kama Kigwangala haifai... mwambie hajawahi kuona kundu lake.Namimi namjinu hivi.....
Nyani hajawahi kuona kundule...π€¨
ππππ₯Tafsida kwa mtu kama Kigwangala haifai... mwambie hajawahi kuona kundu lake.