Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mheshimiwa kigwangala aliumiza wengi kwa vidole vyake vya Uwaziri. Kwa hiyo akae kimya tu aache watu wafanye kazi huku yeye akiendelea kuomba hekima za Mungu na kuomba msamaha kwa watu aliowakosea .Umeongea ukweli mchungu
Una hoja ...Lakini saa nyingine mlevi akikwambia epuka pombe ni bora kumsikiliza kuliko kuambiwa na mchungaji ambaye hajui ladha ya pombe. Kigwangala kama mtu mwenye hizo tabia mbaya anajua madhara yake kwahiyo ni bora kumsikiliza.
ameanza kukosa pesa ya deodorant ee ndio apunguze harufu nzito ya kiume πHuu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala
" Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
Wosia ameuandika Ukurasani X ππ₯
Yeye ndiyo anakumbuka haya sasa? Alipaswa ajue alipokuwa akiwafungia geti watumishi pale Wizara ya AfyaHuu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala
" Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
Wosia ameuandika Ukurasani X ππ₯
Na mwenzie MakondaUwo wosia angeanza kujipa yeye kwanza
UPO SAHIHI ULIPOKUWA JUU ULIJIDAI SANA NA UKAWA NA MAJIVUNO UKATUIBIA SANA KWA KUCHONGA SANAMU YA MJOMBA WAKO UKADAI NI YA BABA WA TAIFAHuu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala
"Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
Wosia ameuandika Ukurasani X.