#COVID19 Dkt. Kigwangalla adungwa chanjo ya Corona aina ya Sputnik V

#COVID19 Dkt. Kigwangalla adungwa chanjo ya Corona aina ya Sputnik V

Kutoka Kwenye Kinga ya matunguli MPAKA Kwenye SPUTNIK V[emoji2]

Kwa kichina
hii Inaitwa AMEIZINGI YUU- TANI[emoji23]
IMG_20210404_182550.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasiasa wa pili kuripotiwa kudungwa chanjo, sputnic v na astra Zenak ipi ndio yenye nguvu? Kwa kuwa wanasiasa wameanza kudungwa ngoja na wanadini nao waanze kudungwa waumini nao wafuate
 
Mwanasiasa wa pili kuripotiwa kudungwa chanjo, sputnic v na astra Zenak ipi ndio yenye nguvu? Kwa kuwa wanasiasa wameanza kudungwa ngoja na wanadini nao waanze kudungwa waumini nao wafuate
 
View attachment 1867537
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi.

Dr. Kigwangalla aliwahi kupinga vikali matumizi ya chanjo katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona mnamo mwaka 2020 lakini alibadili msimamo wake mapema mwaka huu na kuhimiza upatikanaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona kama njia pekee ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na virusi hivyo vya corona.

IMG-20210725-WA0035.jpg

IMG-20210725-WA0031.jpg
 
Alishajibu hoja za CAG pale maliasili, au anafikiri imeisha hiyo.....kuna siku itafika haya makaburi yatarudiwa.
 
Haya majanga yataanika wengi wenye tamaa za fisi kama huyu, kwa haraharaka hii ndiyo orodha ya wanasiasa na wasomi uchwara, vigeugeu, wasioaminika.
  1. Hamis Kigwangala - Chanjo
  2. Palamagamba Kabudi - Katiba
  3. Hunphrey Polepole - CCM kuondoka madarakani
  4. Zitto Kabwe - ATCL
  5. Bashiru Ally - Nafasi ya Ukatibu Mkuu CCM ni highest hatakubali nyingine
  6. Ibrahimu Lipumba - 🤣
  7. Issa Shivji - Katiba
  8. Edward Lowassa - Kutohamia upinzani iwapo angekatwa CCM
  9. Dorothy Gwajima - Hakuna COVID ni breathing complication
  10. Job Ndungai - Bandari ya Bagamoyo
 
Tunakoelekea naona itakua lazima kuchanjwa kuelekea ughaibuni
 
Tunakoelekea naona itakua lazima kuchanjwa kuelekea ughaibuni
Sio huko tu mkuu,hata kupanda bus,kwenda Chuo,shule,kuingia supermarket,kuuza,kununua nk.nk.Tuko kwenye nyakati za hatari sana.Tunaweza tukapandikiziwa chuki tukauana kati ya waliochanjwa na wasio chanjwa!I believe that is coming.

Updates:

Angalia hii👇,kazini tayari!

IMG-20210728-WA0000.jpg
 
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi.
Kwahiyo inner part ya kumpongeza itafanyika ukumbi gani tujiandae
 
View attachment 1867537
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi.

Dr. Kigwangalla aliwahi kupinga vikali matumizi ya chanjo katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona mnamo mwaka 2020 lakini alibadili msimamo wake mapema mwaka huu na kuhimiza upatikanaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona kama njia pekee ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na virusi hivyo vya corona.
Amechanjia wapi huyu zero?
 
Sio huko tu mkuu,hata kupanda bus,kwenda Chuo,Sekondari,kuingia supermarket,kuuza,kununua nk.nk.Tuko kwenye nyakati za hatari sana.Tunaweza tukapandikiziwa chuki tukauana kati ya waliochanjwa na wasio chanjwa!I believe that is coming.
Tuache muda ndiyo utaongea
 
Back
Top Bottom