Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kigwangalla.JPG

Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital.

Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu.

Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Huyu ni muumini wa mbinu za kisayansi ktk kukabiliana na korona. Sasa anashangaa nini kukaguliwa barakoa?
 
Si alitaka corona itambulike daah viongozi wetu bana
 
kigwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom