Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

Muda mwingine kiswahili ni kigumu sana unaweza ukaandika kitu ww umemaanisha ktu kingine na watu wakatafsiri tofauti
 
UKi

Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital.

Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu.

Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ukifika huko utujuze hali ya Engineer Patrick Mfugale
 
Mnakumbuka kipindi kile alikua naibu waziri wa afya alishawahi kufunga getti ili wachelewaji wasiingie bila kujali Dar Kuna foleni, Kuna wamama wanaonyosha, Kuna wamama wenye mimba n.k
Mnakumbuka alivyokua kwa sangoma, mbona Leo hakwenda kutibiwa na masangoma?
Mnakumbuka alivyowarusha kichura watu wazima na familia zao?
Mimi bado nakumbuka
 
Back
Top Bottom