Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo.

Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo basi anamuomba alitolee kauli.

Rais Magufuli akaomba majibu kutoka kwa naibu waziri ndipo mheshimiwa Bashe akaanza kutiririka kwa data namna alivyoshughulikia mradi huo na kwamba hadi sasa wataalamu wako site wanachapa kazi.

Wananchi wote walimshangilia naibu waziri kwa vifijo na vigeregere.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi tulizuia Bunge live ili watu wafanye kazi..., sasa hizi mubashara kwa muktadha huo......, au ?
 
Kigwa Kila siku anazidi kujidhalilisha, angekaa kimya.. shobo kumshindo sio inshu
 
Sasa ni mtifuano wa nyumba moja wacheleweshaji si hawapo tena! Tanzania yote ni ya kijani, Jiwe shikilia hapo hapo ! Mitano tena au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwani kampeni zimeshaanza mara híi Joni
 
So what?
 
Kigwangala kaanza Majungu yake kwa Bashe
 
Kigwa hatembelei jimbo lake.kichwa imevurugwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…