Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Jan 30, 2021 #21 TODAYS said: Nilikuwa sijamuelewa huyu joni basi sawa bandiko limesomeka. Click to expand... Nimeanza kugundua kuwa nikiona bandiko la John kulifungua ni wastage of time
TODAYS said: Nilikuwa sijamuelewa huyu joni basi sawa bandiko limesomeka. Click to expand... Nimeanza kugundua kuwa nikiona bandiko la John kulifungua ni wastage of time
M Mpucha JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 1,232 Reaction score 1,592 Jan 30, 2021 #22 Mr_X said: Kigwa Kila siku anazidi kujidhalilisha, angekaa kimya.. shobo kumshindo sio inshu Click to expand... Ni kweli mkuu, kigwa ni hovyo sana, hasa anavyolialia kwenye mitandao kila kukicha huyu jamaa ni shida
Mr_X said: Kigwa Kila siku anazidi kujidhalilisha, angekaa kimya.. shobo kumshindo sio inshu Click to expand... Ni kweli mkuu, kigwa ni hovyo sana, hasa anavyolialia kwenye mitandao kila kukicha huyu jamaa ni shida