Dkt. Kigwangalla: Hakuna Hamis fala

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema hakuna Hamis fala wakati akisalimiana na mbunge wa Muheza Hamis Mwinjuma
na kupost kwenye ukurasa wake wa twitter.

Ikumbukwe akina Hamis wote walioko bungeni wakiongozwa na Hamis Kigwangalla ni wajanja wajanja watupu, wengine ni Hamis Mwinjuma, Hamis Taletale na Hamis Tabasamu.

Ufipa sijawahi kumsikia Hamis yoyote!

Maendeleo hayana vyama.
 
Wewe na yeye akili zenyu zinafanana
 
Hamis Mandi(bdozen) wanamjua huyo?!
 
Wakati Kigwangwala alipokuwa ana gombana na Bashe kule jimboni kwao Bashe aliandika humu JF yafuatayo;
Hamisi sio jina lake bali ni la mtu Kigwangwala aliyetumia vyeti vyake kujiendeleza kimasomo na jina lake halisi ni Amour Bangaile.
 
Hahahaaaa...... Kwahiyo yupo Hamis original!
 
Kwetu huku kuna jamaa tunamuita "Hamis chizi"
 
Huyu kigwanga sijui alipewaje mpaka uwaziri?. Ni fala wa ajabu sana. Oohhoo...! Hapa amenikumbusha aunganishwe mahakamani,kwa kesi ya uhujumu uchumi alipokuwa waziri wa mali asili
 
Huyu kigwanga sijui alipewaje mpaka uwaziri?. Ni fala wa ajabu sana. Oohhoo...! Hapa amenikumbusha aunganishwe mahakamani,kwa kesi ya uhujumu uchumi alipokuwa waziri wa mali asili
Ikianzishwa tu heading hata JF kwamba Hamis atapandishwa kizimbani kwa uhujumu uchumi ndo hutamsikia tena hadi hadi kwenye mitandao kama makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…