πππππ Yaani Mbowe aanzishe Saccos yake afu useme amuachie mtu wa kuja kutoka huko Nccr Lisu?Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla
Ahsanteni πππ
Kigwangwala huyu huyu aliyetoa mtoto wake kafara ili aukwae uwaziri ?Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla
Ahsanteni πππ
Kwani lazima awe mwenyekiti Mkuu?Lisu atabaki kutumiwa kwenye uanaharakati uchwara ili awe anakibusti chama. Lakini kwenye swala la uenyekiti asahau.
Sawa alifanya ujinga, je inahalalisha Mbowe kuongoza chadema bila kikomo!?,nimeanza kuhisi Mbowe analipa vijana na wazee mitandaoni kupinga na kutukana kila anayehoji uenyekiti wake kufika mwisho. Angalia hii thread mlivyomvamia Kigwangala personally. Hakuna anayeelezea Mbowe kuachia uenyekiti. 2022 Mbowe alitamka mwenyewe mwaka Jana 2023 ndo mwisho wake kuwa mwenyekiti. Hadi Leo May 2024 anapambana kuendelea kuwa mwenyekiti.Hamisi huyu huyu aliyewapigisha push up watu wazima alipokua waziri Leo hii anaongelea demokrasia?
Alianza kumchimba Nyalandu baadaye akagundua Nyalandu Ni Moto wa kuotea mbali, akamuaza Mo, Mo hata hakutaka kumjibu, hata Mbowe hatamjibu.
Hamisi. Jimbomi hakuna maji Safi na madawati mbona huyasemei? Au umejua safari hii hubebwi Tena?
CCM iondoke madarakani.MBOWE aondoke
πππBurigi Chato, Mbuga Ya Mzilankende
Katiba inamruhusuSawa alifanya ujinga, je inahalalisha Mbowe kuongoza chadema bila kikomo!?,nimeanza kuhisi Mbowe analipa vijana na wazee mitandaoni kupinga na kutukana kila anayehoji uenyekiti wake kufika mwisho. Angalia hii thread mlivyomvamia Kigwangala personally. Hakuna anayeelezea Mbowe kuachia uenyekiti. 2022 Mbowe alitamka mwenyewe mwaka Jana 2023 ndo mwisho wake kuwa mwenyekiti. Hadi Leo May 2024 anapambana kuendelea kuwa mwenyekiti.
Nani kakwambia Mbowe ataongoza CHADEMA bila ya Kikomo!!??Sawa alifanya ujinga, je inahalalisha Mbowe kuongoza chadema bila kikomo!?
Kwa ivo Mbowe akitoka madarakani ndiyo CHADEMA itaonekana Ina demokrasia.kweli mpaka sasa bado sijaona mantiki kwa Kamanda kuendelea kuishikilia hiyo nafasi ya Uenyekiti! Huku chama chenyewe kikifahamika kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Hapa Kamanda ndiyo unapokosea. Watanzania walio wengi wameichoka ccm! Kwa hiyo mnapofanya mambo yenu kwa kutegemea sababu kama hizi, mnawafanya watu washindwe kuwaamini.Kwa ivo Mbowe akitoka madarakani ndiyo CHADEMA itaonekana Ina demokrasia.
CCM ambao hawachagui Mwenyekiti wao wa Taifa ndiyo mfano wa kuigwa!?
Umeshapanic dadekiπΌMavi hayajibiwi, haondoki mtu hapa
Kigwa anatatizo la akiliNi wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema
Kigwa anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla
Ahsanteni πππ
Hatari snSwala la kujirudiarudia au kukaa sana sio hoja mbona CCM wamekalia nchi since Uhuru, hoja ni una impact gan hapo ulipo. Democracy za Kimagharibi ni hatari kwa upatikanaji wa viongoz wa watu maana ni rahis kuchomekea Mapandikizi/Nagugu kama Samia kwa Kigezo cha hovyo tu ati Ujinsia leo tunalia Watanganyika wote akiwamo na Yeye Kigwa japo analilia Pazuri mwenyewe.
Mdogo wake Tundu Lisu ππKigwa anatatizo la akili
Yule ni mshirikina balaa inawezekana hata analala juu ya mtiYule mdori kule mjengoni analalaga wapiπ€£π€£
Kwa mawazo ya aina hii basi muda si mrefu tutarajie uwepo wa Chadema ya Mbowe! Kama ilivyo kwa CUF ya Lipumba, TLP ya Mrema, UDP ya Cheyo, nk.Nani kakwambia Mbowe ataongoza CHADEMA bila ya Kikomo!!??
Jee Katiba ya CHADEMA inamzuia mtu mwingine Kugombea!!??
Na jee Katiba ya CHADEMA inamzuia Mbowe Kugombea hiyo nafasi!?
Kigwangwala anatafuta uwaziri kwa udi na uvumbaNi wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe