Pre GE2025 Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

Pre GE2025 Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenyeviti karibu wote wa upinzani hawana tofauti. Ni madikteta uchwara hivi. Hakuna tofauti ya Mbowe, Lipumba, Mbatia, Rungwe nk. ACT wameweka mfano bora sana.
 
Kwani yeye kinamuwasha nini kuona Mbowe ni mwenyekiti, unda chama chako ukae baada ya mwaka kisha uachie uenyekiti.Nyinyi wenyewe sisiem tangu uhuru mpaka leo hamtaki kuachia madaraka na umasikini unazidi kuongezeka.
 
Pilipili usizozila za kuwashia nini,pambana na hali yako angalau uchawa ukupe cheo awamu hii umesahaulika mno. ulizoea kacheo
Chadema inajipambanua kuwa chama mbadala wa ccm, Sasa wananchi wanapoona uozo na kuukemea usijifiche kwenye misemo na methali. Kwa kufanya hivyo mnaibagaza chadema. Jibu hoja, kwann mwenyekiti haondoki madarakani?
 
Kwani yeye kinamuwasha nini kuona Mbowe ni mwenyekiti, unda chama chako ukae baada ya mwaka kisha uachie uenyekiti.Nyinyi wenyewe sisiem tangu uhuru mpaka leo hamtaki kuachia madaraka na umasikini unazidi kuongezeka.
Umeshindwa kujibu hoja ya mtoa hoja unaleta vioja. Kwann Mbowe haondoki madarakani kama demokrasia inavyotaka?
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
ni lazima ufuatiliwe kwa makini na kwa ukaribu zaidi ili kushuhudia mtanange na anguko la chadema vizuri zaid, kuliko kuhadithiwa :pedroP:

ni kama bodaboda mwendesha kasi hovyo barabarani anavyofuatiliwa na raia jinsi anavyoenda kujibamiza mwenyewe kwenye semitrela lilobeba vyuma na kuchukua kavideo kidogo:pedroP:
 
Jina halisi anaitwa mfalme Chifu Mswati Mangusuto Mbowe Kim jong Un Mwenyeki wa milele wa Chadema
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
Katika watu niliokuwa nimeamua kuwaheshimu ni Kigwangala Hamisi lakini Kwa point hii tu kaonesha utoto. Haiwezekani chama hakikuhusu kikunyime usingizi. Unataka mwenyekiti abadilike ili upate nn c uache waharibu ili upate faida na cheo unachopambania. Uchawa haukufai kabisa unajivunjia heshima. Baada ya hapo unijibu Kinana atapisha wengine lini mbona anatoka na kurudi watu wameisha? Mbona wewe hauachii Jimbo kwani msomi uko pekee yako Nzega? Hv mwakani unagombea tena c ndiyo baba!!!. Acha hizo!
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
Tupo kwenye mapambano, hatuwezi, kumbadilisha kamanda mkuu, wakati wa vuguvugu na mapambano dhidi ya, apartheid kule SA, kiongozi wa ANC alikuwa Mandela, na wasaidizi wake, alifungwa miaka 27 jera! Lakini alipotoka, kama chairman akapewa nafasi awe Raisi!
CCM nchi imewashinda, kasome report ya wizi,
Huyu nae ni kenge tu, nchi haibadilishwi na mwenyekiti wa chama!kuna bunge,Maha kama, na, serikali, na sekta binafsi, sasa, huyu kenge anaamini, kwa, vile ndani ya CCM kila, kitu, ili kiende, lazima mama, wa, kizmkazi aimbe taarab kwanza, anafikri chadema tutaenda na huo upuuzi! Katiba kwanza, harafu kingine,
Kwanini, makada, wa, CCM, ndio, wanaokereka na uenywlekiti wa, Mbowe!?
 
Attachments

Vipi suala la fomu moja ya urais ndani ya chama chake hajaligusia?
CCM ni Wahuni watupu. Lipumba yupo pale toka enzi hizo haguswi. Cheyo Mzee wa mapesa kaanzisha Chama mpaka kimemfia yeye hapana. Wao wa namuona Mbowe tu.

Actually, CCM hajawahi kufanya Uchaguzi wa Mwenyekiti wake tangu Uhuru. Wao kazi yao ni kupiga propaganda upande wa pili.
 
Back
Top Bottom