johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dkt. Kigwangalla amesema anajivunia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.
Mungu ni mwema wakati wote.
Mungu ni mwema wakati wote.