johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dr Kigwangalla amesema anajivumia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.
Mungu ni mwema wakati wote!
Nenda kwenye tovuti ya wizara bwashee!Atoe hayo maelezo yake kwa twakwimu.
Ama kweli hii ni Banana Republic! Eti mtu kama HK anayo ya kujivunia badala ya kuwajibishwa?Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dr Kigwangalla amesema anajivumia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.
Mungu ni mwema wakati wote!
Aache kudanganya. Paramilitary component ilikuwepo toka enzi za mwinyi. Annandika kama vile ndio ame discover.Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dr Kigwangalla amesema anajivumia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kuna jeshi lisilo na madudu?Hifadhi ya Rubondo iligeuka kuwa makabuli ya watu.
Hilo jeshi limeua wavuvi wengi sana
Na kuacha wajane wengi maeneo ya Nkome, muganza n.k
Hakika hakusitahili kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi..
Haya yalikuwa ni zaidi ya madudu.Kuna jeshi lisilo na madudu?
Hilo jeshi usu mbona lilikuwepo hata kabla ya kigwa. Hao rangers wamekuwepo wizara ya maliasil miaka nenda rudi bwashee!Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dr Kigwangalla amesema anajivumia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.
Mungu ni mwema wakati wote!