Dkt. Kigwangalla: Nimefanya mazuri mengi nikiwa Waziri lakini sipendi sifa na wanaonikosoa kwa mabaya machache hiyo ni haki yao ya msingi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dr Kigwangala amesema alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii alifanya mambo mengi mazuri lakini hawezi kuyasema kwa sababu yeye siyo mpenda kusifiwa.

Ila kuna machache ambayo wengine wanaona sikuwa sahihi kwahiyo wanaonikosoa, nakubaliana nao hiyo ni haki yao ya msingi.

Ameandika Dkt. Kigwangala huko Twitter.

Ubarikiwe kipindi hiki cha majilio.
 
Huyu mbona Ana mdomo sana

Hebu apunguze mdomo

Ova
 
Hicho kiazi cha Twitter kinapenda attention kupita maelezo.
Hivi kile Kinyago (chenye kufanana labda na ndugu yake) alichokichonga bado kipo au kimeshavunjwa vunjwa?
 
Dr Kigwangala amesema alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii alifanya mambo mengi mazuri lakini hawezi kuyasema kwa sababu yeye siyo mpenda kusifiwa.

Ila kuna machache ambayo wengine wanaona sikuwa sahihi kwahiyo wanaonikosoa, nakubaliana nao hiyo ni haki yao ya msingi.

Ameandika Dkt. Kigwangala huko Twitter.

Ubarikiwe kipindi hiki cha majilio.
Alimfaidi poss queen
 
Back
Top Bottom