Dkt. Kigwangalla: Serikali iendelee kukopa ili kuwasaidia Wananchi wanyonge, ambayo naiita Samiacomics

Dkt. Kigwangalla: Serikali iendelee kukopa ili kuwasaidia Wananchi wanyonge, ambayo naiita Samiacomics

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dr Kigwangalla amesema ili kukabiliana na changamoto za vita ya Ukraine Serikali ni lazima Iendelee kukopa ili kuwanusuru wananchi masikini waliokwama

Kigwangalla ameipongeza Serikali kwa kukopa tsh 1.3 za uviko ambazo zinachochea maendeleo hata sasa.
Kadhalika ameipongeza Serikali kwa mazungumzo yanayoendelea ya kukopa tsh 1 trillion kutoka WB na tsh 2 trillion kutoka IMF

Kigwangalla amesema anamfana isha Rais Samia na Rais Reagan wa Marekani ambaye aliboresha sans uchumi wa US mipaka ile ya 1980s

Dr Kigwangalla amesema Rais Reagan alitumia Resgacomics yeye anatumia Kigwacomics na Rais Samia anatumia Samiacomics

Source: Star tv bungeni
 
Mapaka😁😁😁
 
Kwani kuna Waziri amelega na anahitajika kubadilishwa huko kwenye Baraza la Mawaziri?

Maana Kigwa anatumia style ile ile ya Mwigulu alipokuwa anamsifia jiwe wakati wa Corona hadi akalamba uteuzi wa Wizara ya Katiba na Sheria
 
Kwani kuna Waziri amelega na anahitajika kubadilishwa huko kwenye Baraza la Mawaziri?

Maana Kigwa anatumia style ile ile ya Mwigulu alipokuwa anamsifia jiwe wakati wa Corona hadi akalamba uteuzi wa Wizara ya Katiba na Sheria
Kweli.
Anajiona mahali anapostahili ni ofc ya uwazr, anaona Mum hamkumbki. Anajpigia debe. Angetchamblia anachoona kzr ktk kkopa dhidi ya mabaya yatokanayo na kkopa tjue anajua mambo ya economics. Sio reganimic wala nn. Amekua wzr muda mrf wala hakna cha maana wala kigwanomics yyte aloionyesha! Tena ajue baadhi yet tumemchoka, ameshakula kodi zetu za kutosha wala hatijaona alchkifanya. 90% za bajeti iwe kodi zetu ziishie kwnye miposho na maraha yao wkt vjjn tunachangia vyoo vy mashule, maujenzi ya madarasa, brbr ztu ...nk ati ndo kuchangia maendleo tkiugua hatpati madawa lkn but no chni ya 10% ...duh!
 
Hivii!

Alowaambia mtu akiwa mbunge tuu tayari IQ yake inakuwa kubwa kulikoni watanzania wote ambao si wabunge ni Nani?

Ndiyo maana miradi mikubwa yote inasuasua kwa sababu ya washauri kama hao!

Watu kama hawa, wanachohakikisha ni kutoona serikali ikifyeka posho zao kwa sabb yotote ile, wanaona ni bora serikali ikope ili wao na matumbo yao waende toilet
 
Hawa viumbe huwa hawawezi kukaa bila kuwa mawaziri, wakiukosa uwaziri wanahangaika sana kama kuku anayetaka kutaga.
 
Daah! Kigwangalla mbinafsi sana huyu jamaa
I think he's just being honest. Ameongea uhalisia. Kama mwenyewe unazama kwenye maji huwezi kuogelea utawezaje kumwokoa mwingine asizame? Kama mwenyewe ni dhaifu huna uwezo hata wa kujibeba utawezaje kubeba mwingine? Kama mwenyewe ni mnyonge hata sauti imekukauka, utawezaje kupaaza sauti kwa ajili ya mwingine aliyeshindwa kupaza sauti? Kama mwenyewe huwezi kujitetea, utawezaje kumtetea mwingine? Na kadhalika na kadhalika na kadhalika. Yuko sahihi 100%
 
Back
Top Bottom