johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uchumi bwashee labda kama spelling imenisumbua!Comics tena? Kwamba ni vibonzo au?
Huu ndio ukwelihata bila vita vya Ukreine bado serikali nyingi za Africa ni tegemezi.
Kweli.Kwani kuna Waziri amelega na anahitajika kubadilishwa huko kwenye Baraza la Mawaziri?
Maana Kigwa anatumia style ile ile ya Mwigulu alipokuwa anamsifia jiwe wakati wa Corona hadi akalamba uteuzi wa Wizara ya Katiba na Sheria
Ccm imezidihata bila vita vya Ukreine bado serikali nyingi za Africa ni tegemezi.
Daah! Kigwangalla mbinafsi sana huyu jamaaMapaka😁😁😁
View attachment 2263493
I think he's just being honest. Ameongea uhalisia. Kama mwenyewe unazama kwenye maji huwezi kuogelea utawezaje kumwokoa mwingine asizame? Kama mwenyewe ni dhaifu huna uwezo hata wa kujibeba utawezaje kubeba mwingine? Kama mwenyewe ni mnyonge hata sauti imekukauka, utawezaje kupaaza sauti kwa ajili ya mwingine aliyeshindwa kupaza sauti? Kama mwenyewe huwezi kujitetea, utawezaje kumtetea mwingine? Na kadhalika na kadhalika na kadhalika. Yuko sahihi 100%Daah! Kigwangalla mbinafsi sana huyu jamaa