Dkt. Kigwangalla umekuwa ukiililia sana Simba SC, Je ukibwagiwa zigo utaliweza?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Jamaa kila uchwao huwa anaililia simba hii, akipewa ataimudu au Ana mpango gani?, kuhusiana na simba atuwekee hapa!
 
Wewe jamaa ni tahira kabisa, hivi mpaka leo unaamini kuna mtu anaye toa pesa yake pale simba au yanga kama HISANI/MSAADA?. Simba au yanga sio kmc wala Dodoma jiji?.
 
N R N E.

No reforms no Election.

Hiyo account ni Fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…