Dkt. Kigwangalla: Uwaziri nitaupata tu, huwa sikati tamaa

Dkt. Kigwangalla: Uwaziri nitaupata tu, huwa sikati tamaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt. Kigwangalla amesema ipo siku atapata tena Uwaziri, huwa hakatagi tamaa.

Dkt. Kigwangalla ametoa taarifa ukurasani X.
IMG_20240828_224241.jpg
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa

Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X

Mlale Unono 😀😀
Mbunge hawazi kuhudumia wananchi anawaza uwaziri, kuna tatizo mahali. Na wananchi wa hilo jimbo wafikirie mara mbili kabla ya kupiga kura
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa

Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X

Mlale Unono 😀😀
Huyo huwa anajitapa, kuwa alikuwa tajiri Sana kabla ya kuwa mbunge, kwamba alikuwa na ma kampuni kibao! Shenzi sana
 
Ng'ombe Waliokatika Mikia Machungani Hata Wakirudi Zizini Wenzao Watajua Hawana Mikia
 
Kwakweli Nyota ya Kigwa imefifia sana wakati ya Bashe inang'ara mimi nilikuwaga nafikiri hawa Mganga wao ni mmoja.
 
Anaishi anafikiria uwaziri, inasikitisha sana, cheo kwao ni means ya maisha sio kutumikia kutatua matatizo ya nchi
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt. Kigwangalla amesema ipo siku atapata tena Uwaziri, huwa hakatagi tamaa.

Dkt. Kigwangalla ametoa taarifa ukurasani X.
View attachment 3081701
Huyu soon atapewa uwaziri atuletee kinyago kingine sasa awamu hii sijui atachonga kinyago cha nani wenyewe wanaita statue Ile ya Nyerere alitisha sana, makofi mengi kwake tafadhari na makofi hayo yaangukie kwenye mashavu yake
 
Back
Top Bottom