Dkt. Kigwangalla: Uwaziri nitaupata tu, huwa sikati tamaa

Dkt. Kigwangalla: Uwaziri nitaupata tu, huwa sikati tamaa

Chifu ananifurahisha kwa kuwa na 3P's..
-Persistence
-Perseverance
-Patience

Mimi ni nani nizuie ndoto zake?!!

Maisha haya.....tuache tu....

Mh.Bashe akiwa mbunge tu ,chifu mh. Dr.K alikuwa waziri...leo Mh.Bashe anapapambana na KUPIGA KAZI haswa kufikia kufunguliwa kesi mahakamani....Mh.Dr K ANAPAMBANIA tena uwaziri....


Maisha haya....maisha hayaaa....hakika kesho aijuaye ni Allah tu....

HasbunAllah wani'imal waqiil [emoji7]

#Nchi Kwanza chini ya chifu mkuu Hangaya [emoji7][emoji2956][emoji2956]
 
Ni huyu huyu alidai vijana WAJIAJIRI?!
Hawa wanasiasa wetu wako hovyo hovyo kabisa!
Amekwambia hana ajira au kwa vile ameulizia uwaziri? Jiulize unadhani wateule wa rais baada ya kutenguliwa ufanya nini ili kuendeleza maisha yao?
 
1724888092659.jpeg
 
Huyu jamaa huwa namuona kama software ya ubongo wake haiko sawa...lina ujinga ujinga mwingi kama toto vile.
 
Back
Top Bottom