johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni huyu huyu alidai vijana WAJIAJIRI?!Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa
Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono 😀😀
Mbunge hawazi kuhudumia wananchi anawaza uwaziri, kuna tatizo mahali. Na wananchi wa hilo jimbo wafikirie mara mbili kabla ya kupiga kuraMbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa
Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono 😀😀
Lala unono kivyako huko!Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa
Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono 😀😀
Huyo huwa anajitapa, kuwa alikuwa tajiri Sana kabla ya kuwa mbunge, kwamba alikuwa na ma kampuni kibao! Shenzi sanaMbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa
Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono 😀😀
Anatamani Uwaziri sasa 😂😂Huyo huwa anajitapa, kuwa alikuwa tajiri Sana kabla ya kuwa mbunge, kwamba alikuwa na ma kampuni kibao! Shenzi sana
Akipata uwaziri ndo inakuaje? Ana jilpya lipi,Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa
Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono 😀😀
Itakuwa WHO imemuuma sanaMbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Lazima atapata Uwaziri huwa hakatagi tamaa
Dr Kigwangalla ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono 😀😀
Huyu soon atapewa uwaziri atuletee kinyago kingine sasa awamu hii sijui atachonga kinyago cha nani wenyewe wanaita statue Ile ya Nyerere alitisha sana, makofi mengi kwake tafadhari na makofi hayo yaangukie kwenye mashavu yakeMbunge wa Nzega Vijijini Dkt. Kigwangalla amesema ipo siku atapata tena Uwaziri, huwa hakatagi tamaa.
Dkt. Kigwangalla ametoa taarifa ukurasani X.
View attachment 3081701